Kufutia madai yaliyotolewa na mbunge anayetokana na Baraza la Wawakilishi na Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu, Zanzibar Simai Mohamed Said akidai ya kwamba kuna baadhi wanakwamisha juhudi za maendeleo kwa maslahi yao binafsi na kuwa mmoja wao ni mtu aliyemtaja kwa jina la "Yuda"ndani ya serikali...
Wakuu habari ya wakati huu.
Awali ya yote naomba moderator msiunganishe huu uzi na nyuzi zingine huu unajitegemea.
Ukisoma kitabu cha biblia ambacho ni kitabu takatifu kwa waumini wa dini ya kikristo ipo stori inayozungumzia namna utawala wa mfalme nimrodi baada ya kufanya dhambi nyingi...