Musoma ipo karibu sana na Serengeti, lakini ujenzi wa airport ni wa kusua sua na barabara za Musoma kwenda wilaya ya serengeti ni duni.
Watalii hutua Arusha uwanja wa KIA, kisha husafiri masaa manne kufika Serengeti.
Na hata ofisi za mbuga ya Serengeti zipo Arusha wakati mbuga na wilaya ya...
Mambo vipi wadau,
Niende moja kwa moja kwenye swali ambalo huwa najiuliza sana lakini mpaka sasa sijapata majibu ya kueleweka au ya moja kwa moja.
Huenda kuna maeneo mengi sana duniani ambayo mpaka leo ambayo hayaruhusiwi kabisa kuingia ama kuyasogelea duniani unayoyajua kama area 51 nk.
Je...
Habari GTs,
Naomba kujuzwa gharama na utaratibu wa kutembelea hifadhi ya mbuga ya Serengeti, kwa raia wa Tanzania wenye umri pungufu na zaidi ya miaka 18. Vile vile gharama za malazi kwa usiku mmoja for economy class, safari yangu itaanzia Mwanza.
Naomba kuwasilisha.
Hii issue imedhihirisha chuki waliokuwa nayo Watanganyika dhidi ya Wazanzibar na chuki hii inaongozwa na roho mbaya na roho ya kwanini.
Tulitegemea unge dadavuliwa mkataba na mapungufu yake, lakini la ajabu, matusi kwa mama ndio ilikuwa pumulio la Watanganyika dhidi ya mkataba. Haikutukanwa...
Wasaalam!
Kwa fikra pana sana na hofu ya Mungu iliotukuka ningependa kulileta suala hili mbele yenu tulijadili kwa mapana zaidi bila ya chuki za ukanda wala ukabila.
Kwanini mbuga ya Serengeti haiunufaishi mkoa wa Mara?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.