mbowe

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Faraja iliyoje kupokea ugeni Mzito

    Kwamba Laigwanan, Aboubakar Mbowe kapokea ugeni mzito huu mahakamani: Kwa hakika mtenda mema hajifichi. Tunayo mengi ya kujifunza kutoka kwa mja wake mola huyu. Eeh mola wetu umpishilie mbali mabalaa yote mtumishi wako huyu. Hata tutakopoonana naye tena - ndugu yetu huyu katika mapambano...
  2. JamiiForums Tanzania Mbowe alifanya mission zote za ugaidi Hai? Hakukuwa na ofisi za uratibu sehemu nyingine?

    Yaani nchi hii tumefikia level ya juu sana ya uonevu. Hivi kweli Mbowe huyu aliyeshitakiwa Dar es Salaam, inaingia akilini kweli afanyie mipango yote Wilayani Hai tukio la nchi nzima bila kua na ofisi zavuratibu mkoa wowote kati ya ile iliyotajwa kama vile Moro, Dar, Arusha, Mbeya...
  3. JamiiForums Tanzania Kweli Dunia inaenda mbio sana leo Mbowe ni maarufu kuliko vikao vikuu vya CCM?!

    Tokea tarehe 16 hadi 18 jana huko Dodoma kulikuwa na vikao vikuu vya CCM tena vikiongozwa na Rais wa Nchi ambaye ni kiongozi wa hicho chama. Ajabu tofauti na vikao vya huko nyuma vya CCM hivi vya sasa havina mvuto na hamasa kama zamani.Yaani vimepoa kuzidiwa hata na umaarufu wa Mbowe aliyepo...
  4. JamiiForums Tanzania Hizi ndio sababu za uhakika kwa nini Rais Samia alimsweka gerezani Mh. Mbowe!

    1. Ugeni kwenye kiti cha Urais. Kule kuingia ghafla kwenye kiti cha juu cha Urais kulimfanya Mama awe distabilized mentally kwa kiasi chake. Infact, kisaikolojia hakuwa okay maana ni Jambo la ghafla sana. Hivyo kujikuta maamuzi yake kutokuwa na base kubwa ya mizizi. Mentally alikuwa vulnerable...
  5. JamiiForums Tanzania Lema bhana kamchagulia RJMT, DCI, DPP, IGP filamu ya kuangali kumbe anawasema mh. Kibatala na wenzake kuwa hawana uwezo wa kumtetea Mbowe

    Godbless E.J. Lema @godbless_lema Mh Rais SSH,nakuomba sana kama unaweza tafuta muda wewe pamoja na familia yako mtazame hii movie. Pia DPP , DCI , IGP , DG TISS , CJ na Jaji Kiongozi ukitazama nao itakuwa vyema zaidi. Inaitwa ... " JUST MERCY "
  6. JamiiForums Tanzania Mbowe, ukitoka jela pumzika siasa. Wafuasi wako wanakusaliti

    Wanaukumbi. Mbowe, rafiki yangu ukimalizana na kesi pumzika kufanya siasa ili upate muda wa kupumzika na kujitafakari upya huku nje hauna watu una wasaliti watupu. Hawakutakii mema. Wanataka ukae jela miaka wakutumie tu kama chambo wenyewe huku uraiani wanapiga hela za wafadhili Kujitoa...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Sijaomba msamaha wala sijamtuma mtu kuniombea msamaha

    KM wa CHADEMA, @jjmnyika akisoma ujumbe wa mwenyekiti @freemanmbowetz baada ya kujulishwa mbanga za zambarau na MaCCM kumtaka aombe msamaha kwa tuhuma za ugaidi. Freeman anasema yupo tayari kusibiri hata miaka 20 gerezani ili tu ukweli ujulikane hata kama mahakama haziaminiki. “sijaomba msamaha...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Kuna Kila Dalili Mbowe akawa Rais wa Tanganyika(TZ) 2025, jela Tu ndo itamzuia

    Ukipita huku mtaani watu wanashauku sana na uchaguzi wa 2025, ni uchaguzi wa kimkakati, Kati ya chadema na Ccm. Kama hakutakuwa na uwizi wa kura na magumashi basi mpambano utakuwa mkali kuliko ule wa magufuli na lowasa. Ni mpambano uliojificha ndani ya migogoro ya muungano, watu moyoni wanalao...
  9. JamiiForums Tanzania Msimamo wa Mheshimiwa Freeman Mbowe kuhusiana na mambo ya kusamehewa na Rais

    Juzi katika kikao cha Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wadau wa demokrasia iliibuka tafrani kwenye mitandao ya kijamii baada ya kudaiwa kuwa Zito alimuombea Msamaha kwa Rais Mheshimiwa Mbowe. Jambo lile lilipingwa na kila mtu mwenye akili timamu kwa sababu kwa katiba yetu Rais hana...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia ukimuachia Mbowe huru Watakukejeli

    Hapo vip!! Nimekuwa nikifuatilia hii kesi ya inayomkabili Mbowe,kwa namna ushahidi unavyotolewa na mwendendo mzima wa kesi yenyewe,ni wazi ushahidi umenyooka mno na inaonekana sio ya kuchonga kama wanaharakati,wanasiasa na vyomba vya habari vyenye mrengo ule wadai. Niseme tu ,kama Rais...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Hivi kesi ya Mbowe ilisimama?

    Manake there is no any feedback for almost three days now! Nini kineandelea?
  12. JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia ilikuwa haina "option" nyingine zaidi ya kumwachia Mwenyekiti Mbowe kutoka mahabusu

    Kwa kila mtu anayeifuatilia Kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti Mbowe na wenzake 3 huko kwenye Mahakama Kuu, atagundua kuwa hii Kesi ni ya kubambika, kwa maana ya kuwa Majaji wake wanaopangwa ni wa michongo, mawakili wake walioko upande wa Jamhuri, walio upande wa mashitaka nao ni wa...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Kesho shahidi J4 Kizimbani na Kielelezo Chake Tata

    Kesho tutakuwapo kukipokea kile kielelezo kisichojulikana kilivyomfikia Jumanne mahakamani tokea alipomwachia Inspector Swilla. Pamoja na kuwa kina kurasa 2 na ni ukurasa wa kwanza pekee ulio na sahihi, mchumi wa maneno aliyedhamiria anaweza kutatizika vipi hata kwenye hali tata kama hizo...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Sabaya kaenda jela watu wanashangilia, Mbowe yupo Mahabusu Taifa linavurugika. Tusubiri TCD ya michongo itumike kufuta mchongo

    Kila Kona kila kijiwe kauli mbiu ni Mbowe Mbowe Mbowe. Huyu mwamba amejua kuwatingisha. Yupo jela huku nje watu wanalipwa wakamshawishi atoke jela. Yaani unawekwa jela then qaliokuweka jela wanatafuta watu wakukutoa jela? Ishi na watu vizuri wakusaidie unapokwama. Kila Kona anajadioiwa Mbowe...
  15. JamiiForums Tanzania Kama Chairman Mbowe hana kosa mbona Mnyika alimtuma Zitto kwenda kumuombea msamaha?

  16. JamiiForums Tanzania Zitto ajianika alivyotumika jana kumuombea msamaha Mbowe

    Tumeshakwambia Mbowe hahitaji kusamehewa anahitaji kuachiwa huru kwa sababu kesi ni ya kubumba. Mbona huelewi wewe wakala? Wa kuomba msahama ni Rais Samia sio Mbowe
  17. B

    JamiiForums Tanzania Naomba nipingane na mwandishi Erick Kabendera kuhusu hoja ya kumtaka Mbowe aende KWENYE meza ya mazungumzo.

    Naomba Chadema mnielewe vyema na mjitafakari Sana kuhusu mjadala ulioanzishwa na Zitto na baadaye Mwandishi wa habari na ndugu yetu Erick Kabendera kuingilia Kati. Kwanza tunapaswa kujua Erick Kabendera ni nani kwenye mfumo wa siasa na amechangia vipi awamu ya tano kuingia madarakani kabla awamu...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Kama madai haya ni ya kweli, basi ni aibu sana kwa wahusika

    By Mchokozi !! kupitia twitter: Mnaishinikiza Familia Imuombe Mwamba Akubali Kikao Cha Kumaliza Kesi Kwani Wakati Mnamkamata Na Kumfungulia Kesi Mliomba Kikao Nae? Mwiba Hutoka Ulipoingilia, Mwamba Anasema Wacha Iendelee Kunyesha. Njia PEKEE Ya Rais Kuondokana Na Hii Kesi Ni Kusema...
  19. JamiiForums Tanzania Nolle prosequi iliyotabiriwa itatolewa kwenye kesi ya Mbowe na wenzake ikifika 14.12.2021 imepotelea wapi

    https://www.jamiiforums.com/threads/terehe-14-disemba-2021-dpp-atawasilisha-nolle-kesi-ya-akina-mbowe.1936131/
  20. S

    JamiiForums Tanzania Hii kesi ya Mbowe na maamuzi ya huyu Jaji, ni historia mbaya kwa watoto na wajukuu wa Taifa letu

    By Baba Mwita kupitia twitter: Mtu anakwambia alipopelekwa TAZARA na MBWENI yalitumika majina BANDIA. Jaji leo anatoa MAAMUZI anasema jina HALISI la mtuhumiwa halikuwa kwenye "DR" ya TAZARA hivyo ameshindwa kuthibitisha alifika hapo! Sasa, litakuwepo vipi wakati amekwambia alikuwa registered na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…