mbowe vs lissu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    PreGE2025 Je, Mbowe anatumika ama anatumiwa?

    Mbowe si muongeaji sana ni mkimya na mtulivu sana! Huwa hapendi kuongea mwanzoni, hupenda kuongea mwishoni na kufunga mjadala. Ni jambo zuri lakini kuna baadhi ya mazingira hupaswi kukaa kimya muda mrefu sana. Mwenyekiti huyu mstaafu wa CHADEMA kahusishwa mara nyingi sana na CHAUMMA, chama...
  2. Waufukweni

    PreGE2025 Kubenea: Mbowe hakutarajia kushindwa na Lissu, nilimshauri asigombee

    Mbunge wa zamani wa Ubungo (CHADEMA), Saed Kubenea kupitia Wasafi FM ameeleza kuwa kuna watu ndani ya CHADEMA mpaka leo hawaamini kama Tundu Lissu ni Mwenyekiti wa Chama na madhara ya kuto kubali matokeo yake ni makundi kuibuka. Ameongeza kuwa hata Freeman Mbowe hakuamini kama anashindwa na...
  3. W

    PreGE2025 Mbowe na genge lake wanapofanya yale wanayolalamikia CCM, wanapoteza justification ya kulalamika chaguzi zijazo

    ENGUA style ya Mbowe ni ya kikatili mno haina maelezo, wajumbe wanaenguliwa bila sababu maalum, Tulizoea kusikia watu kuenguliwa kwa makosa kwenye ya kuandika barua ila hii ni next level, unapigwa benchi bila sababu Wanachama wengi wanao support Team Lissu wamepigwa marufuku kuhudhuria...
Back
Top Bottom