mboni mhita

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McLaren

    GE2025 RC Shinyanga Mboni Mhita: Tutahakikisha siku ya Uchaguzi inapita kwa amani. Hatutamvumilia yeyote atakayevuruga amani

    Wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mboni Mhita, amewatoa hofu wananchi wa mkoa huo kuhusu hali ya usalama kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025, akisisitiza kuwa mkoa uko salama na hauna tishio lolote la kiusalama. Akizungumza katika kikao na waandishi wa habari...
  2. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 RC Mboni Mhita: Shinyanga ipo salama kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025

    Oktoba 29 mwaka huu, mkuu wa mkoa wa Shinyanga ameahidi uwepo wa usalama kwa kila mtu kwenda kutimiza haki yake ya kupiga kura kwa uhuru na amani..
  3. M

    RC Mboni Mhita: MKoa wa Shinyanga Uzalishaji wa mazao umeongezeka hadi Tani 1,500,000 kutoka Tani 900,000

    Katika sekta ya kilimo, mafanikio yaliyopatikana ni pamoja na kuongezeka kwa skimu za umwagiliaji kutoka 2 mwaka 2020 hadi 15 mwaka 2025 katika wilaya za Shinyanga, Kahama, Msalala na Kishapu. Upatikanaji wa mbolea ya ruzuku umeongezeka kutoka tani 9,870,000 hadi tani 23,223,000, huku matumizi...
  4. M

    RC Mboni Mhita: Shinyanga na Kahama zimekusanya TZS 540bn kutoka kwenye madini

    TUWE WA KWELI, HIVI NI NANI ANGEWEZA HAYA? Katika kipindi cha miaka minne ya Rais Samia kuanzia Machi 2021 hadi Aprili 2025, Mikoa ya Shinyanga na Kahama ambayo ni Mikoa ya kimadini imeweza kukusanya jumla ya Shilingi bilioni 540.17. Kwa mwaka wa fedha 2024/2025 hadi kufikia Aprili 2025...
  5. M

    RC Mboni Mhita: Rais Samia ametupatia TZS155.24bn kwaajili ya kuboresha Elimu mkoa wa Shinyanga kwa kipindi chake cha miaka minne

    https://youtu.be/lSwXl5hBJ7o?si=vbfT9DfFtaDA19Jj Kupitia Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Mkoa wa Shinyanga umepokea TZS bilioni 155.24 kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya elimu na kuongeza walimu wa shule za msingi, sekondari na vyuo vya kati. Mafanikio haya yameongeza uandikishaji...
  6. Mindyou

    Kahama: DC Mboni Mhita afariji familia zilizopoteza watoto 4 kutokana na kuzama kwenye bwawa

    Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Mboni Mhita, amezifariji familia mbili zilizopoteza watoto wanne, wakati wakiogelea kwenye bwawa lililokuwa likitumika katika ujenzi. Tukio hilo limetokea Februari 15, mwaka huu, majira ya jioni, wakati watoto hao wakitoka shambani kata ya Bulige, Halmashauri ya...
Back
Top Bottom