Baba Mtakatifu Leo XIV amemteuwa mtanzania Monsinyori Romanus Mbena kuwa ni Mkuu wa Ofisi ya Baraza la Kipapa la Huduma ya Upendo, ambaye hadi kuteuliwa kwake amekuwa akihudumu kama Afisa Mshauri wa Balozi za Vatican ngazi ya kwanza na Mhudumu katika masuala ya jumla kwenye Sekretarieti kuu ya...