Kada wa Chama Cha Mapinduzi, Mwl. Mbelwa Petro ameteuliwa na Chama hicho kuongoza timu ya kampeni ya kusaka kura kwa wagombea wa CCM katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu wa 2025. Akizungumza baada ya kuteuliwa kushika nafasi hiyo, Mwl. Mbelwa Petro alisema...
Tunapoelekea kuzindua kampeni za uchaguzi unaotarajiwa kufanyika siku 61 zijazo, tume huru ya Taifa ya uchaguzi {INEC} ikiwa imeteua wagombea 17 wa kiti cha urais, chama cha Mapinduzi {CCM} kina silaha 3 muhimu katika uchaguzi mkuu huu wa 2025, ambazo ni;
1. Rekodi ya utekelezaji wa ilani ya...
Aliyekuwa kada wa CHADEMA na mgombea wa kiti cha ubunge jimbo la Biharamulo katika uchaguzi mkuu uliofanyika Octoba, 2020 na baadae kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM) mnamo tarehe Machi 25, mwaka huu wa 2025 ameteuliwa na kamati kuu kushiriki kinyang'anyiro cha kura ya maoni katika kiti cha...
Juni 29, 2025 majira ya saa 4 asubuhi Mwl. Mbelwa Petro amewasili ofisi ya Chama cha Mapinduzi (CCM} kata ya Ruziba na kuchukua fomu ya kuwania kiti cha udiwani katika kata hiyo.
Kada huyo wa chama cha mapinduzi mara baada ya kukabidhiwa fomu na Katibu wa CCM kata ya Ruziba, Cde. Erasto J...
Waasisi wa Taifa letu la Tanzania kwa uzalendo wao walipambana kuifanya ardhi yetu kuwa hifadhi ya viumbe vyote, wenye utamaduni (binadamu) na visivyo na utamaduni (wanyama). Watanzania wa leo tunayo sababu ya kuwashukuru wazee wetu kwa kazi hiyo iliyowashinda waasisi wa mataifa mengine mengi ya...
"Kipimo cha utayari wa kitaasisi unaweza kuona katika jinsi vyama hivi viwili vilivyojipanga na uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Wakati Dr. Samia na Dr. Nchimbi wameshaambia Watanzania kuwa kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu wanakwenda na kauli mbiu ya KAZI NA UTU - TUNASONGA MBELE, CHADEMA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.