mbao za kuezekea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Northern Lights

    Mbao za kuezekea

    sina uzoefu na masuala ya ujenzi, sasa nimefikia hatua ya kupaua nawaza mbao nzuri za kuezekea ni zipi? Nimesikia kule bugurun baadhi wanapaka cola badala ya dawa. Ntahakikishaje mbao nayonunua ni treated? Asanteni kwa msaada. Nyumba ipo goba na nimepanga kupaua januari
  2. mtataina

    Nauza mbao za plastiki

    Katika kujikinga na kujilinda na uchafuzi wa mazingira, kampuni ya Zanrec recycling company tunayo furaha kuwajulisha kua tunatengeneza na kuuza mbao na nguzo za plastiki, mbao hizi ni ngum na imara, haziozi, haziliwi na wadudu na zinadum kwa miaka mingi, zinatumika kujenga fensi ya nyumba...
  3. L

    Bei ya mbao za kuezekea

    Hi waheshimiwa Kwa mlio Mafinga trested timber 2x4 ni sh ngapi, 2x2 ni sh ngapi Na 1x6sh ngap 1x10 ni sh ngapi Naomba huo msaada mkuu ili nifanye maamuzi
Back
Top Bottom