mazoezi ya pamoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Mazoezi ya pamoja ni ushahidi tosha vyombo vilijipanga kuua: Ni mazoezi kama ya Intarahamwe na vikosi vya ulinzi Rwanda 1993-1994

    Kutangulia mauaji ya halaiki nchini Rwanda mwaka 1994, katika mitaa yote ya Rwanda kila mara kulikuwa kukifanyika mazoezi ya pamoja na utayari yaliyojumuisha vikosi vya majeshi ya serikali ya Rwanda na wanamgambo wa Kihutu, walioitwa Intarahamwe (kama green guards wa CCM). Baada ya kupita...
  2. PAYE

    GE2025 Vyombo vya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Lindi vyafanya mazoezi ya pamoja

    Huko Lindi - Oktoba 24, 2025. Vyombo vya Ulinzi na Usalama mkoa wa Lindi vimefanya mazoezi ya kutembea (Route March) ya pamoja iliwa ni kawaida kwao kufanya hivyo. Mazoezi hayo yakiwa na lengo la kudumisha ushirikiano na mshikamano baina ya vyombo hivyo sambamba na kuimarisha afya ya mwili kwani...
  3. DuaZaMama

    GE2025 Kikosi cha 830 JKT Kibiti Kimefanya Mazoezi ya Pamoja na Vyombo vya Usalama Rufiji

    Kikosi cha 830 JKT Kibiti, Kanali Mohamed Mruma akiwa na Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Mwampashe ambaye ni Kaimu Operesheni Ofisa wameongoza mazoezi ya pamoja ya vyombo vya ulinzi na usalama Mkoa wa Kipolisi Rufiji kwa kufanya matembezi ya ukakamavu katika barabara kuu ya Kilwa - Dar es...
  4. Mafyangula

    Jeshi la Polisi mkoa wa Morogoro laungana na majeshi mengine kufanya mazoezi ya pamoja

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limeandaa mazoezi ya pamoja ya utayari kwa kushirikiana na vyombo vyote vya ulinzi na usalama mkoani humo. Mazoezi hayo yalilenga kuimarisha mshikamano, mawasiliano, na uwezo wa pamoja katika kutekeleza majukumu ya kulinda raia na mali zao.
  5. tonicimmobility

    GE2025 Vyombo vya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Katavi vyashiriki mazoezi ya pamoja

    VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA MKOA WA KATAVI VYASHIRIKI MAZOEZI YA PAMOJA Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama Oktoba 3, 20205 wamefanya mazoezi ya matembezi (Route Match) kwa kutembea zaidi ya kilomita 10 kuzunguka maeneo mbalimbali Manispaa ya Mpanda...
Back
Top Bottom