Habari wanajamvi.
Kuna mama ana mtoto wa miezi 4 na amepatwa na hali ya ajabu maziwa ya kumnyonyesha mtoto yamekata ghafla.
Hii hali inasababishwa na kitu gani maziwa ya mama yakate ghafla?
Habari zenu wajuzi, nina mtoto wa miezi 9 ila nimesafiri takribani week mbili sasa na huku nilipo nilikamja maziwa yangu siku moja tu, je nikirudi naweza mnyonyesha? Kuna imani kuwa maziwa ya Mama usiponyonyesha hata siku tatu ukija mnyonyesha mtoto anaharisha hivyo natamani kujua kutoka kwa...
Habari wana Jf, naombeni msaada nina mtoto wa miezi saba na nilisafiri nje ya nchi kwa siku tano yeye nilimuacha sababu nilimkamulia alikua na stock ya maziwa ya kumtosha hizi siku zote.
Ila toka nimefika kule maziwa yaliacha kutoka ingawa nilikua najitahidi kukamua kamua.
Nimerudi maziwa...
Je, Wajua unyonyeshaji ukifanyika ipasavyo, uwezekano wa Mtoto kupata Magonjwa hatari ya kuambukizwa au kuugua mara kwa mara hupungua na hivyo kupunguza Vifo vya Watoto?
Hata hivyo, tafiti mbalimbali zinaonesha baadhi ya Wanawake wanaonyonyesha wakiwa katika ajira wamekuwa wakishindwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.