Afisa mmoja wa Kikosi cha GSU aliyeambatana na msafara wa ulinzi wa Gavana wa Kakamega, Fernandes Barasa, amethibitisha kupoteza bastola yake wakati wa mazishi ya Waziri Mkuu wa zamani, Raila Odinga, yaliyofanyika katika eneo la Bondo, Kaunti ya Siaya Oktoba 19, 2025
Kwa mujibu wa maelezo ya...
Viongozi mbalimbali wakiongozwa na Rais wa Kenya Dr. William Ruto
https://www.youtube.com/watch?v=YT87RClirPI
Miongoni mwa Waliohudhuria mazishi ni
Rais wa Kenya - Samweli Ruto
Naibu Rais Kenya - Prof Kithure Kindiki
Mama Aida Odinga na Familia ya Odinga
Rais Mstaafu wa Kenya - Uhuru kenyatta...
kitabu not yet uhuru kilichapishwa mwaka 1967 kikiandikwa na jaramogi oginga odinga, baba yake raila odinga. ni wasifu unaoeleza safari ya kisiasa ya kenya kuelekea uhuru na changamoto zilizofuata baada ya uhuru wa mwaka 1963. jaramogi alieleza kuwa ingawa nchi ilipata uhuru wa kisiasa, bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.