The Mazda Motor Corporation (Japanese: マツダ株式会社, Hepburn: Matsuda Kabushiki-gaisha) (commonly referred to as simply Mazda) is a Japanese multinational automaker based in Fuchū, Aki District, Hiroshima Prefecture, Japan.In 2015, Mazda produced 1.5 million vehicles for global sales, the majority of which (nearly 1 million) were produced in the company's Japanese plants, with the remainder coming from a variety of other plants worldwide. In 2015, Mazda was the fifteenth largest automaker by production worldwide.
AVAILABLE NOW
Bei/Price TSH 56M
Call+255 747 999 927
MAZDA CX-5 NEW EDITION
Year: 2018
Engine: 2,200Cc
Mileage: 54,000+
Fuel Used: DIESEL
Transmission: A U T O
Back Camera
Rear Spoiler
Sport Rims
100% Duty Paid
Free Registration
Exchange Possible
Hatimaye Mazda wamezindua 3rd gen ya SUV yake pendwa duniani, CX-5 Itakayoanzwa kuuzwa mwaka 2026.
Mazda CX-5 itakuja na option ya 2.5L engine Petrol na 2.5L Skyactiv-Z engine Hybrid itatoka kuanzia 2027 na option ya Diesel mtaendelea kusubiria.
Kwa muonekano wa nje imeongezeka ukubwa kutoka...
Hii hapa iko na mtiririko mzuri na uandishi uliokaa sawa
Kama kawaida, nimeamua kufungua uzi huu maalum kwa ajili ya Mazda CX5 kama nilivyofanya kwa Subaru Forester na magari mengine.
Lengo ni tukutane hapa tukishirikiana uzoefu, ushauri, changamoto na mbinu mbalimbali za kuitunza na...
Habari
Kwa wale wote WENYE ndoto za kumiliki GARI aina ya Mazda VERISSA tukutane hapa
Lengo la kufungua Uzi huu ni kuweza kuweka magari yote aina ya Mazda VERISSA yaliyoko sokoni ambayo unaweza ukaaguza na kupata Kwa Bei nzuri sana magari haya yote mwaka wa matengenezo inaanzia 2005-2013...
1. Wakuu niliagiza Mazda CX 5 ya 2015, 2,200cc (diesel) August 2024 baada ya mwezi na nusu ikawa imeshafika bongo.
2. Nikajipinda nilkaitoa bandarini. Mziki umekuja kwenye kui-maintain daah msala. December nilienda nayo kijijini sasa kule Barabara zetu sio nzuri siku ikanyesha mvua tope kama...
Amani iwe nanyi nyote
Kama mada inavyosema, ni kwamba nahitaji kuagiza gari kutoka Japan, nimependelea kuitaja Mazda CX-5 ya kati ya 2013 - 2014 kwa sababu nimeona mwonekano wake ni mzuri ila sijui kuhusu uimara na upatikanaji wa spea zake
Naomba ushauri kwa wazoefu, je ni gari ya kununua ama...
Wakali wa hizi mambo Mazda wamezindua Electric SUV yao ya kwanza, inayoenda kwa Mazda EZ-60.
Kwa muonekano wametupatia baadhi ya picha za nje, chuma ni kali. Ila picha za ndani kidogo wamezibania kwa sasa. Kwa size, vipimo vinafanana na Tesla Model Y. Gari itakua na battery ya 80kWh yenye...
Wakuu.
Baada ya kukaa na Mazda Atenza kwa karibia 2 years, nikaona nibadirishe niende EV ndoto ikiwa Nissan Leaf ila ushuru ukanikata maini nikasema sio mbaya nikienda Hybrid, moja kwa moja nikaangukia Honda Fit Hybrid.
Ni gari ndogo, isio na mambo mengi kwa mtu ambae ana misele mingi ya...
Kwa wapenzi wa compact SUV kuna haya magari mawili, Mazda CX-3 na Honda Vezel.
Ingawa ni taste mbili tofauti, lakini yanaweza kufananishwa ata kwa udogo.
Mazda CX-3 yeye ana sifa zifuatazo:
Engine: 1.5L SkyActiv-D diesel engine, inatoa power ya 105 hp
Transmission: 6-speed manual au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.