mauaji ya oktoba 29

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Mwigulu kamuwahi huyu Mgambo, ila angemuacha angesema Kuhusu mauaji ya Oktoba 29

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, Machi 9, 2026 alizungumza na Wananchi wa Namanyere, Mkoani Rukwa. ========== Huyu mgambo kuna kitu alitaka kusema Mwigulu akamuwahi kwa kumuuliza kiasi cha pesa anachodai ili kuepusha dhahama, nadhani angemuacha dakika moja tu angesema walitumwa kuua watu...
  2. Idugunde

    Baada ya mauaji ya Oktoba 29, mbona Rais Samia anazidi kuchukiwa pamoja na jitihada za kisiasa kuonesha yupo karibu na Wananchi?

    Kila kada wa CCM sasa hivi utamsikia anajifanya yupo karibu na vijana hasa majenzii. Hii ni suluhu ya rais Samia kujubalika kwa Watanzania? Huku kuna kovu kubwa hasa kuuliwa kwa raia ambao hata hawakuwa karibu na siasa , wengine walikuutwa wakiangalia mpira kwenye vijiwe vya kahawa. Shootong...
  3. Q

    Bunge la Marekani: Kama Jumuiya za Kimataifa zingesimama na viongozi wa kidini na upinzani, mauaji ya Oktoba 29 yangeweza kuzuiwa

    Mwenyekiti wa Kamati ya Haki za Binadamu ya Bunge la Marekani, Chris Smith, amekemea vikali vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu na mateso dhidi ya waumini wa dini mbalimbali duniani. Katika hotuba yake, Smith ameorodhesha nchi zinazokandamiza uhuru wa kidini kuwa ni China, Urusi, Nikaragua...
  4. Bawabu wa pili

    PostGE2025 Februari 1, 2026, BBC kuja na uchunguzi mpya juu ya Mateso na mauaji ya Tanzania, kabla na wakati wa Uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025

    Idara ya BBC Africa Eye imetangaza kuja na uchunguzi mpya maalum unaoitwa “STATE OF FEAR” unaohusu matukio ya kikatili na mauaji yaliyotokea mwaka jana october 29, 2025 nchini Tanzania wakati wa uchaguzi mkuu. Kupitia taarifa iliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, BBC Africa Eye imesema...
  5. Genius Man

    Kihongosi acha siasa za kishamba walio umiza wananchi ni polisi walitumwa na Samia tuache siasa kwenye vitu vizito kama vya uhai wa watu

    Kihongosi acha siasa za kimalaya walio umiza wananchi ni polisi walitumwa na samia tuache siasa za umalaya kwenye vitu vizito kama vya uhai wa watu. Watu kama hawa ni wapumbavu sana unatafutaje hela kwa kushabikia mauwaji ya watanzania wenzako tukivuka hapa hawa wapuuzi wataona moto sisi wote...
  6. Bawabu wa pili

    PostGE2025 DW yathibitisha aina ya Risasi zilizotumika kwenye mauaji ya Oktoba 29, 2025 zilikuwa ni za Polisi na Jeshi la Tanzania

    https://www.youtube.com/watch?v=-ZZrAoiAmqc Uchunguzi wa DW umebaini ushahidi wa kuaminika unaoonyesha kuwa vikosi vya usalama vilitumia nguvu za kikatili dhidi ya raia wakati wa vurugu zilizofuata uchaguzi wa Oktoba 29 nchini Tanzania. Maandamano yalizuka katika miji mikubwa ikiwemo Mwanza...
Back
Top Bottom