mauaji kwenye maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DuaZaMama

    TANZIA Mwanachama wa TLS Wakili Peter Elibariki afariki kwa kupigwa risasi na Polisi Oktoba 29, 2025

    Kwa Masikitiko Makubwa tunapenda kuwataarifu kuhusu kifo cha Wakili Peter Elibariki Makundi (Roll No. 5937), mwanachama wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Tawi la Ubungo, aliyefariki dunia kwa bahati mbaya siku ya Jumatano, tarehe 29 Oktoba 2025, baada ya kupigwa risasi katika eneo la...
  2. Black Opal

    PostGE2025 Mliokuwa karibu na wanapozika au kuchoma miili ya watu kwa wingi tupate picha/video za ushahidi

    Maneno yaliyopo mtaani ni kuwa kinachoendelea sasa ni kuwa polisi wanazika watu makundi kwa makundi ili kufuta ushahidi kwa yaliyotekea - mass grave, na maeneo mengine wanachoma maiti. Na hili linathibitishwa zaidi maana watu wakienda hospitali kudai maiti zao-maitti hakuna! Yaani hospitgali...
  3. figganigga

    GE2025 Day 3: Kuna kikundi cha Watu wanapiga watu risasi Uraiani. Hata kama haupo kwenye maandamano!

    Kuna kikundi cha Watu wanapiga watu risasi Uraiani. Hata kama haupo kwemye maandamano Wanatumia pikipiki, Bajaji, Magaari madpgo kama IST nk. Wanakuja kwako wanapiga risasi. Au risasi inapita dirishani. Hata wakikukuta dukani wanakupiga risasi. Mara nyingi wanatumia code ya rangi nyeupe...
Back
Top Bottom