matumizi ya pombe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P h a r a o h

    Katika historia, hisa Za Pombe zimeporomoka kwa zaidi ya dola Billion 800 kidunia tangu 2021. Hali inayohusishwa na Gen z kupunguza matumizi ya pombe

    ‎Tangu mwaka 2021, tasnia ya pombe imeingia katika kipindi cha kuporomoka ambacho hakiwezi tena kuelezewa kama mzunguko wa kawaida wa soko. Katika kile kilichoonekana kama kilele cha thamani baada ya kipindi cha kufunguliwa kwa uchumi kufuatia COVID-19, makampuni makubwa ya pombe yalikuwa...
  2. Fbn

    Saudia Arabia imeruhusu na kuanza kupitisha sheria mpya ya matumizi ya pombe ili kujiongezea kipato

    Saudi Arabia imekuwa na sheria kali kuhusu pombe na bidhaa za pombe, ambapo zinakatazwa kabisa katika nchi hiyo, ingawa pombe zimekuwa zikitumika kwa siri kwa baadhi ya wageni. Hatua hii ni sehemu ya mabadiliko ya kijamii na kiuchumi yanayoendelea katika Saudi Arabia, ambapo serikali inajaribu...
  3. Yoda

    Matumizi ya pombe kupungua kwenye nchi ni habari nzuri au mbaya?

  4. Mkalukungone Mwamba

    Mbunge ataka kusitishwa kuhamasisha matumizi ya pombe na sigara

    Leo Mbunge Mwantumu wakati akitoa hoja yake Bungeni ameiomba serikali kusitisha kuhamasisha matumizi ya Pombe na tumbaku ( sigara). Hoja yake ikajibiwa na Naibu Waziri wa Afya - Dkt.Godwin Mollel kwa kusema kweli mchakato umeanza lakini utaona kwenye sigara na kwenye mambo mengine kweli...
  5. Mwizukulu mgikuru

    Upo vipi ufanisi wa kutumia dawa hii katika kupunguza matumizi ya pombe...

    Nataka nirudi kama zamani , japo kazi ninayoifanya ni ya kutumia akili sana, kwa hiyo kuna muda nakuwa nahitaji utulivu ili kazi niifanye kwa ufanisi...nilijiingiza kwenye uraibu wa kutumia pombe Kali ( konyagi) kwangu Mimi nikinywa pombe nakuwa Na hamu ya kula Na hata kunenepa Huwa nanenepa...
  6. W

    WHO: Hata kwa Viwango vidogo Matumizi ya Pombe yanaweza kuleta madhara ya kiafya

    Kwa mujibu wa Ripoti ya mwaka 2019 ya Shirika la Afya Duniani (WHO), matumizi ya pombe, hata kwa viwango vidogo, yanaweza kuleta madhara ya kiafya, lakini madhara makubwa zaidi yanatokana na unywaji wa kupitiliza, wa mara kwa mara na kwa kiasi kikubwa. Pia, takwimu hizo zinaonyesha kuwa...
Back
Top Bottom