Msanii wa Bongo Flava, Matonya (Sefu Shabani Ramadhan), amefunguliwa mashtaka ya ubakaji mjini Mombasa, Kenya kufuatia tukio linalodaiwa kutokea Aprili 7, 2026.
Matonya, anayejulikana kwa nyimbo kama “Vaileti” na “Anita”, alikanusha mashtaka hayo mahakamani na kuachiwa kwa dhamana ya shilingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.