Wakuu, katika harakati zetu sisi vijana, hasa upande wa kibiashara, je, ubunifu wa kutengeneza matangazo una athari zozote katika maendeleo ya biashara zetu?
Kwa mfano, unakuta baadhi ya watu huweka matangazo yenye vichekesho, na baadhi yao huweza kuvutia wateja na kuwafanya wapendezwe na...
Poleni kwa lawama taifa star kukishindwa.
Sasa nika rudi kwenye television na maredio kila tangazo kina sema shule imeshika nafasi nzuri kitaifa mara college hii ajira ukimaliza unapata.
Haya matangazo msimu wa January yamekuwa mengi.
🔌 Submita kata umeme ni kifaa kinachotumika kudhibiti matumizi ya umeme kwa kila sehemu ndani ya jengo—kama vile chumba, ofisi, au nyumba ndogo—kulingana na kiasi cha umeme kilicholipiwa.
Maelezo ya kina:
Submita (au sub-meter) hufungwa ndani ya jengo lenye wapangaji au sehemu nyingi...
Jamani tupeane uzoefu.
Mara nyingi natumia Instagram na YouTube kutangaza biashara yangu, lakini nataka kuongeza njia mpya za kufanya matangazo. Nimejaribu kuwasiliana na TikTokers kadhaa wa Bongo, lakini bei zao ni kubwa. Mfano, Kiredio aliomba milioni 6 kwa matangazo manne, na wengine wanadai...
Mhadhara - 47:
Inakera!!
Siku hizi hakuna raha ya kutumia smartphone, ukifungua APP yoyote kwenye simu (kabla hukuendelea na mambo mengine) unaletewa matangazo ya biashara, na matangazo mengi ni MKOPO ONLINE. Unalazimishwa (bila ridhaa yako) utazame tangazo kisha ndo uendelee na mambo mengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.