matamshi ya chuki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 2027 Inakaribia, Lakini Je, Kenya Iko Tayari Kuzuia Siasa za Chuki?

    Huku Kenya ikielekea katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027, wasiwasi kuhusu ongezeko la matamshi ya chuki na uchochezi wa kisiasa unaendelea kuongezeka, huku viongozi kadhaa wakikabiliwa na uchunguzi na hatua za kisheria. Tukio la hivi karibuni linamhusu MCA wa Kuteuliwa wa Makueni, Urbanus...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amos Makalla: Kuna vyama vina ukabila na ukanda, vinaongozwa kama SACCOS au familia

    Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa Amos Makalla akiwa kwenye mkutano wa hadhara Segerea amesema kuwa kuna vyama vinaongozwa kwa misingi ya kikabila na kikanda Chama cha Mapinduzi (CCM) kina historia ya uongozi katika nchi hii (Jamhuri ya Muungano wa Tanzania), vyama vingine...
  3. JamiiForums Tanzania Matamshi ya Chuki na jinsi ya kukabiliana nayo

    Matamshi ya chuki yaweza kuwa maneno au vitendo vinavyoonyesha hisia za uadui, dhihaka, au kutokuwajali kuelekea mtu au kundi fulani. Yanaweza kujitokeza kwa misingi ya tofauti za kijamii, kitamaduni, kidini, kisiasa, au mambo mengine. Chuki inafarakanisha makundi, huchangia vurugu na migogoro...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…