Marupurupu ni motisha kubwa ya kazi katika sekta zote na ni muhimu ili kuamsha ali ya wafanya kazi. Hivyo napendekeza serikali kuweka marupurupu (per diem) kwa mwalimu katika matukio yafuatayo;
Kuandaa mitihani ya ndani na nje, hapa ni pamoja na kuandaa mitihani ya mid-term na annual...