Bunge la Seneti la Marekani limetaka kuanza kwa mazungumzo ya maridhiano kati ya Serikali inayoongozwa na CCM na vyama vya upinzani, ikiwa ni sehemu ya mapitio ya uhusiano wa Kidiplomasia kati ya Marekani na Tanzania.
Sharti hilo limejumuishwa katika fasili B(4) ya kifungu cha saba cha Muswada...
MNYIKA unadai Bajeti ya katika mpya kwenye Serikali Ipi? nyinyi hamuitambui Serikali lakini mnataka bajeti iweke takwa lenu,kwanza mnachopaswa ni kuitambua Serikali halali ya awamu ya sita kisha mkae chini kwenye maridhiano haya mengine yote yatafanyika ama lah endeleeni na siasa zenu za...
Wakuu,
Natafakari tu.
Juzi tulimsikia Msigwa akisema plain and open kuwa hakuna mtu atakayelazimishwa kuingia kwenye maridhiano.
Hii kauli ya Msigwa haitofautiani sana na zile kauli walizokuwa wakitoa CCM kipindi kile cha Uchaguzi.
Walikuwa wanasema kabisa kwamba kama CHADEMA hawataki...