Serikali ya Marekani imetoa zaidi ya dola milioni 1 za Kimarekani, sawa na takribani shilingi bilioni 2.63 za Tanzania, kusaidia kuimarisha maandalizi na utayari wa Tanzania katika kukabiliana na ugonjwa wa Ebola unaosababishwa na virusi vya Bundibugyo.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo...