marekani kujiondoa who

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Marekani yajiondoa rasmi uanachama kwenye shirika la Afya Duniani (WHO)

    Marekani imejiondoa rasmi kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO), ikiwa ni mwaka mmoja baada ya Rais Donald Trump kutangaza kusitisha ushiriki wa nchi hiyo katika shirika hilo la afya lenye historia ya miaka 78. Trump aliarifu shirika hilo la Umoja wa Mataifa baada ya kusaini amri ya kiutendaji...
Back
Top Bottom