Wakuu,
Hawa ni bqadhi ya Marais kutoka nchi za Afrika wakewa wamebanana kama mahindi katika mkutano wa upatanisho kati ya Rwanda na Congo, wametulia wenyewe kama vipanya kwenye viti vya chuma, hakuna red carpet, hakuna maviti ya kifahari ambayo seti unajenga nyumba😂😂😂, hakuna meza wala maji ya...