Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ametangaza kuwa Jumatano, Juni 17, 2026, itakuwa siku ya mapumziko ili kusherehekea mwaka mpya wa Kiislamu, 1448 Hijiria.
======================
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametangaza kuwa Jumatano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.