Ni jambo la kawaida Rais anapotoka nje ya nchi wakati wa kuondoka anasindikizwa na Makamu wa Rais na anaporejea anapokelewa na Makamu wa Rais mbona kwa Nchimbi inakuwa tofauti shida ni nini? au mimi sijaangalia vizuri ya Rais akiwasili nchini kutoka Ethiopia?
Ndugu zangu Watanzania,
Kanda ya Ziwa inakwenda kusimama,kanda ya ziwa inakwenda kuweka rekodi ,kanda ya ziwa inakwenda Kulipuka kwa shangwe, nderemo na vifijo katika Mapokezi mazito ,ya kihistoria na yatakayo weka rekodi hapa Nchini katika Wingi wa watu wanaotarajiwa kumiminika na kufurika...
Jaribu kukadiria ni kiasi gani huyu MC atakuwa amelipwa, kama ulifuatilia Kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) huko Tunduru Mkoa wa Ruvuma utaona huyu jamaa ndo alikuwa MC
Ingekuwa vyema pia akiweuka akili kidogo kwa kupambania Maslahi ya nchi yake na siyo kupamba mtu anayesimamia kuporomoka...
Ndugu zangu Watanzania,
Kila anapokwenda Na kutua katika ardhi ya Nchi hii Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Amekuwa akilakiwa na kupokelewa kwa mafuriko makubwa sana ya watu ambao hujitokeza na kumiminika kwa wingi sana...
Ndugu zangu watanzania,
Huu ni zaidi ya Upendo, Ni zaidi ya kukubalika, ni zaidi ya kila kitu. Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Kwa mafuriko yanayoendelea kushuhudiwa katika ziara za Mheshimiwa Rais wetu mpendwa, kwa hakika hakuna sababu Ya yeye kuanza kuzunguka Nchi nzima kupiga kampeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.