mapato ya kodi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Damaso

    Kulikuwa hakuna ulazima wowote wa TRA kununua Tabora United?

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeibua mjadala mkali baada ya kutangaza rasmi umiliki wa timu ya soka ya Tabora United na kuibadilisha jina kuwa TRA United Sports Club. Kwa maneno yao wamedai kuwa hatua hii, inalenga kuhamasisha ulipaji wa kodi wa hiari na kuimarisha uwajibikaji wa kijamii...
  2. P

    Ukusanyaji wa mapato ndani ya kipindi kifupi cha miaka minne

    Chini ya uongozi wa Mheshimiwa Rais wetu, mapato ya serikali yameongezeka kwa kiasi kikubwa! Kati ya Agosti 2020 na Machi 2021, tulikusanya shilingi trilioni 11.2, lakini katika kipindi kama hicho kati ya Agosti 2024 na Machi 2025, tulikusanya zaidi ya trilioni 21.2!" Vyanzo vya Kuongezeka kwa...
  3. ChoiceVariable

    Hii hapa mikoa inayotegemewa na TRA kwa mapato ya Kodi

    Hii Ndio Mikoa ambayo inakusanya Kodi nyingi na kuiwezesha TRA kuvunja rekodi ya makusanyo Kila mwaka ambapo Kwa mwaka wa Fedha 2024/25 ,Mikoa 13 yenye Mapato kuanzia Bilioni 💯 ndio imebainishwa hapa chini. 👇👇 1.Dar =14.8T 2.Arusha=743.45bln 3.Kilimanjaro =330.84bln 4.Tanga =325.55bln...
Back
Top Bottom