mapapai

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mapapai yamejificha kwenye tight/jeans/vimodo, Ukikaza unang'oa

    Hawa vijana wenye kupenda vitu vya bwerere. Mtu Ukikaza fresh. Ukamtafutia simu Kali na ikawa unamtoa pesa za bundle na misosi na tungi, mbona unawamaliza wote huko kitaa au vyuoni. Take care guys
  2. Naingiza milion 22 kwa mwezi kwa biashara ya kuuza Mapapai shambani

    Haya kama mlivyosoma ni kweli Hakuna biashara ina hela kama mapapai Na hakuna biashara rahisi kama papai Papai moja shamba linauzwa tsh 1500 moja Mtaani wanauza tsh 3000 moja Kilimo chake rahisi sana ila usilime wakati wa mvua, papai inataka maji kidogo tu kwa siku Mbolea sio sana mche wa...
  3. S

    Sijapata choo kwa muda mrefu licha ya kumeza vidonge vya kuharisha

    Nina maumivu ya Abdomen na sijapata choo tokea vyakula nilivyokula Alhamisi iliyopita. Jana nimekunywa dawa za kuharisha vidonge vinne Kwa muda mmoja (inatakiwa Kunywa kidonge kimoja) lakini mpaka sasa nimeenda sijaharisha ni tumbo tu linanguruma kutishia kuharisha niikifika chooni naishia...
  4. M

    Ya mapapai kukutwa na Corona yaibuka upya China

    Katika hali ya kuonesha jinsi Dunia inavyotumia mbinu za yule shujaa wa Afrika kukabiliana na Maladhi yenye utata yaliyopewa jina la Covid19 nchi ya China imefanikiwa kubaini matunda yenye virus vya korona yaliyokuwa yanaingizwa China kutoka nchi ya Vietnam Mpaka sasa supermarket kadhaa...
  5. Nataka mtu wa kufanya "drip irrigation" kwa ajili ya Kilimo cha Mapapai

    Wakuu nina shamba langu liko chanika sasa nimeplan kulima Kilimo cha Mapapai. Naomba msaada wa kupata mtaalamu wa Wa kufanya drip irrigation. Kuanzia mambo ya setup mpaka mambo ya ushauri na kila kitu. Ukubwa wa shamba ni kama hekari 3 but kilimo cha papai nitafanya kwa hekari moja tu. Kwa...
  6. Kilimo cha Mapapai: Ushauri wa Kitaalamu, Changamoto na Masoko yake

    Wana JF, nataka kufanya kilimo cha mapapai ila nahitaji mbegu za muda mfupi kuzaa ili nianze kuvuna mapema. Naomba msaada wa yafuatayo 1 Wapi nitapata mbegu fupi za muda mfupi kuanza kuzaa? 2. Nikitaka kupanda spacing iwe kiasi gani toka mche hadi mche? Asanteni sana hii ni katika kuhangaika...
  7. Zijue faida mbalimbali za kula papai kiafya

    Papai, tunda lenye ladha nzuri kama sukari, siyo tu ni tamu kulila, lakini ni chanzo kikuu cha virutubisho muhimu vinavyotoa kinga ya mwili dhidi ya magonjwa mbalimbali, yakiwemo yale hatari ambayo huchukua maisha ya watu kila kukicha. Leo soma faida za tunda hili ili ujiepushe na maradhi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…