maono

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Rais Samia ni kiongozi bora, ni mbeba maono na mvumilivu kweli

    Anaweza kubezwa leo kwa anachofanya lakini akakubwa kesho na kiongozi bora hafanyi kwa ajili ya leo tu anafanya kwa ajili ya kesho. Baadhi ya nukuu na hotuba za Mwalimu Nyerere bado zinaishi mpaka leo na ukizisikiliza unaweza kufikiri ni leo ndio anazungumza. Kipindi Cha Mwalimu kuna...
  2. CHADEMA ni wakati wa kuomba msamaha kwa Zitto ili awasaidie, amewazidi sana maono

    Pamoja na madhaifu yake lakini kiukweli Zito Kabwe amedhiilisha ni kiongozi mwenye maono kuliko viongozi wote waliopo Chadema. Kila kinachotokea sasa Zitto alikiona muda mrefu nyuma na akawa anawakumbusha kuweka akiba ya maneno sababu yeye anamjua Mbowe kuliko nyinyi mnaomsoma mitandaoni. Sasa...
  3. G

    Yapi ni Maono ya Taifa la Tanzania huko tuendako?

    Tanzania kama Taifa mojawapo hapa Duniani lazima iwe na Dira na Maono yanayoonyesha jinsi na namna itakavyojiendeleza kitaifa na kimataifa. Kuna vipindi tumeshuhudia tukiletewa mipango ya muda mfupi,kati na mrefu ya Taifa Letu,tatizo ni maono,dira na mipango gani hiyo tuliyoweka? Hayo maono...
  4. Gwajima: Taifa tumekosa maono, inakuwaje kujenga reli kabla ya kuchimba chuma? Waziri Mwigulu ampinga

    Mbunge wa Kawe akiwa bungeni, Joseph Gwajima amesema kwa miaka mitano Taifa limelipa fedha za kigeni dola za kimarekani bilioni 2.2 kununua chuma, Gwajima amesema kwa mtu yoyote mwenye akili na anajua kuzitumia jambo hili hawezi kuruhusu kufanyika. Gwajima amesema nchi imeanza na reli ambayo...
  5. Hayati Magufuli alikuwa na maono juu ya mpango wa Magereza kuwa na shughuli za uzalishaji. DPP ndiye kikwazo

    Wana JF Nimefuatilia sana maono ya aliyekuwa Rais wa awamu ya tano mawazo ya magereza kuwa na shughuli za kilimo , viwanda na ufugaji. Hayati Magufuri aliyasema hayo wakati magereza wakitaka kuongezewa chakula na fedha za kujikimu wakati wafungwa wapo bure wanasaga fedha za serikali. Kwanini...
  6. Ni maono tu kama Mengi nayosemaga yakatokea hata yasipotokea now ipo siku URUSI itahawanyika ama Kaskazini na kusini Au Magharibi na mashariki

    Kwa jiografia Urusi ni Nchi kubwa Kwa eneo kuliko nchi yeyote ile duniani, na Kwa kushangaza hawatumii ukubwa huo kama advantage kwao , njia sahihi ya kuiongoza Urusi ilibidi iwe ya Majimbo kama ilivyo USA, na Demokrasia ilitakiwa kutamalaki sana ili kuondoa mbinu za kutaka ama kupindya serikali...
  7. Wabunge hawa hawana sifa ya kutengeneza maono ya Taifa kama Askofu Gwajima anavyotaka iwe

    Maono ya taifa ni makubaliano ya jumla ya taifa kuhusu uelekeo wa wanakotaka kufika na kujiona wamefika huko wanakotamani kufika miaka kadhaa (mingi) ijayo. Makubaliano ya aina hii ni lazima yatengenezewe mikakati ya kufika huko tunakotamani tufike kama taifa. Mkakati huo lazima utekelezwe na...
  8. R

    Ukweli Usemwe: Mtu ambaye anaiba uchaguzi anaweza kuwa na maono/ mpango wa maendeleo wa muda mrefu?

    Kuna vitu vinashangaza sana ktk hii dunia. Kuna watu wanasikika wakisema Nchi haina maono na haina mipango ya maendeleo ya muda mrefu. Nchi iliyojaa wala rushwa, wabadhilifu, wasioheshimu viapo vyao, wakanyaga katiba ya nchi na wafujaji wa mali za umma wanawezaje kuwa pioneers wa maendeleo...
  9. J

    Askofu Gwajima: Nchi imekosa maono, kila Rais anakuja na lake, ipo siku tutajuta

    Askofu Gwajima ambaye ni Mbunge wa Kawe kasema nchi imekosa maono kwa kuwa kila Rais akiingia madarakani anaachana na ya mtangulizi wake, kuongeza hilo kamwe halitaweza kutuletea maendeleo Gwajima amesema nchi inatakiwa kuwa na mikakati yake ya muda mrefu na kila rais anayeingia madarakani...
  10. Maono: Kati ya Simba na Yanga kuna timu moja leo itafungwa!

    Mimi ni miingoni mwa watu wenye maono sana, leo timu mbili za kariakoo zinacheza katika michezo tofauti. Yanga atakuwa anamkaribisha Geita Gold katika dimba la Mkapa, katika mchezo wa Azam Sports Federation. Simba itashuka dimbani Ushirika Moshi kuwakabili maafande wa Polisi katika muendelezo...
  11. Maono: Nguvu ya kujua yajayo kupitia sauti ya roho takatifu: Clairaudience

    Katika makala hii nitazungumzia nguvu nyingine ya muujiza moja kati ya nguvu za miujiza walizonazo watu wengi ambayo ni Clairvoyance; Hii ni moja kati ya nguvu za miujiza ambayo wenye nayo huitwa clairvoyants hawa hutambulika kama watu wenye uwezo wa kuona yajayo; Chochote kinachohusu jambo...
  12. Unapokosa maono hata ulicho nacho kukitunza unashindwa

    Ndugu zangu wa JF habari za asubuhi. Napenda kukumbusha au kukwambia kwamba ili utimize kile ulichonacho, au kile unachokitafuta lazima uwe na maono. Kuna mambo ambayo watu wengi hupenda kuyatimiza lakini watu huruka hatua. Mfano ndoa, huwezi fika kwenye ndoa, kama haujaanzia kwenye urafiki...
  13. Hayati Magufuli atakumbukwa kwa msimamo na maono yake kwa Taifa

    Pamoja na hoja nyingi zinazotolewa kuhusu aliyekuwa rais wa JMT hayati JPM, ukweli utabaki kuwa ukweli. Magufuli alipigania maslahi ya taifa. Alitetea wananchi wa hali ya chini (wanyonge) Alikuwa mzalendo kwa taifa lake. Alikubali kuonekana kama mtu asiyefaa ili mradi tu asimamie maslahi ya...
  14. J

    Kate Kamba: Tunampongeza Rais Samia kwa maono yake

    "TUNAMPONGEZA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KWA MAONO YAKE " Bi. Kate Kamba Kamati ya siasa mkoa wa Dar es Salaam leo Januari 15,2022 imefanya ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya Chama Cha Mapinduzi CCM wilaya ya Temeke kwa kukagua miradi mbalimbali iliyotekelezwa kupitia fedha za mpango wa...
  15. T

    Maono ya Karatasi nyeupe ya siri itakayofunguliwa 2025

    Haya ndio maono ya 2025 Baada ya watu kuchapatana na kuumizana sana na kila mmoja akiwa amechoka kwa mtifuwano wa 2025. Haya ndio yatatokea. Pataitishwa baraza la siri la wazee na makachero wabobezi wenye siri za Taifa hili ndani yakikao hicho yatasemwa mengi mepesi na mazito baada ya hapo...
  16. M

    Taifa halina maono ya maendeleo zaidi ya nani kaumia na nani kafurahi

    Nikiangalia ktk teuzi Magufuli alikua anajitahidi sana na utaona alikua anateua mtu akitaka matokeo flani ktk kutimiza vision zake ktk kuliletea Taifa maendeleo. Kuna watu unaona kabisa alikua akiwaandaa au kuwapa teuz flani ili wafit sehemu flani. Tukija huku unaona kuna safu ya kusifu na...
  17. CHADEMA kama wapinzani tumekosa future plans na uwekezaji. Tuna viongozi ambao hawana uwezo wala maono

    Angalia hawa vijana wa Bavicha hata majina sitaki kuwataja, muda mwingi wapo Twitter wanalumbana juu ya ishu za ajabu ajabu tu. Hawajui hoja namna kujenga hoja juu ya kuwakuna wananchi hakuna kabisa. Tuna vijana na wanachama ambao wanadhania siasa ni ushabiki na kuropoka hovyo. Wao ni kuishi...
  18. Maono ya Papa Francis Katika Sinodi ya Maaskofu Katoliki 2021-2023 ni Kuhusu Umuhimu wa Kukutana, Kusikiliza Na Kung'amua

    Papa Francis, Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis, katika mahubiri yake mwanzoni kabisa mwa maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu mnamo Oktoba 10 2021, Mjini Roma, Vatican, alikazia mambo makuu matatu mintarafu Liturujia ya Neno la Mungu: Kukutana, Kusikiliza na Kung’amua. Katika Dominika...
  19. Freeman Mbowe mbeba maono asiyepoteza mwelekeo

    Leo ni siku muhimu kwa kaka, mwenyekiti na shujaa wa kupigania uhuru wa kweli kwa nchi yetu. FREEMAN AIKAEL MBOWE. Hii ndiyo siku aliyobatizwa. Baada ya kuzaliwa mwezi wa tisa, wazazi wake kwa ushirikiano na wadhamini wake wa ubatizo Mwl. JULIUS NYERERE (baba wa taifa) walisubiri hadi siku...
  20. Ndoto niliyoota kama maono!

    Sijajua nini Mungu amepanga kwenye maisha yangu, niwe muwazi, nimeokoka, though mimi sio malaika, kwa uwezo wa Mungu napambana na dhambi, na nazidi kujitakasa kila wakati kwasababu najua wakati mwingine namuuzi Mungu na wanadamu kutokana na madhaifu yangu kama mwanadamu, madhaifu ambayo hata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…