maonesho ya sabasaba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania BRELA mshindi wa tatu taasisi wezeshi kwa Biashara katika maonesho ya 50 ya Sabasaba

    Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni BRELA leo tarehe 13 Julai, 2026 imetunukiwa tuzo ya kuwa Taasisi Bora kwa kuwezesha biashara kwenye Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam (Sabasaba). BRELA imekabidhiwa tuzo hiyo mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia akifungua maonesho ya 50 ya Sabasaba akiwa na Rais wa Msumbiji

    Wanabodi, Karibu kwenye matangazo haya Live from viwanja vya 77 Kilwa Rd jijini DSM, kuwaletea ufunguzi rasmi wa maonyesho haya ya 50 ya DITF, mgeni rasmi ni rais wa Msumbiji akiandamana na mwenyeji wake Rais Samia https://www.youtube.com/live/BwolWtk3Pic?si=0OqojeaBb40YFJad Karibuni. Paskali
  3. W

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kinakuvutia kutembelea Maonesho ya SabaSaba?

    Leo Julai 7, 2025 ni Kilele cha Maonesho ya 49 ya Kitaifa ya Biashara maarufu kama "Saba Saba". Maonesho ambayo hutumika kuonesha shughuli mbalimbali za Kibiashara kutoka ndani na nje ya nchi Kwa mara ya kwanza Maonesho ya Kibiashara yalifanyika mwaka 1963, yakiandaliwa na Wataalam kutoka...
  4. JamiiForums Tanzania Wizara ya ardhi yatoa huduma maonesho ya sabasaba

    Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi inaendelea kutoa huduma katika Maonesho ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba yanayoendelea viwanja vya Mwl Nyerere jijini Dar es Salaam. Katika maonesho hayo yaliyobeba kaulimbiu ya "Fahari ya Tanzania" Wizara ya Ardhi natoa baadhi ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania PPPTZ: Bil 948.5TZS kukarabati Uwanja wa Sabasaba Dar es salaam sasa biashara ni 24|7 sio kusubiri tena msimu wa SabaSaba, Heko PPPC

    == Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) inatarajia kuanza utekelezaji wa mradi mkubwa wa uboreshaji wa Uwanja wa Maonyesho wa Mwalimu Julius Nyerere, maarufu kama Viwanja vya Sabasaba kwa njia ya Ubia PPP. Uwanja huo wa kisasa Ukanda Mzima wa Africa Mashariki unatarajiwa...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Posta kushirikiana na TanTrade kurahisisha usafirishaji wakati wa maonesho ya sabasaba

    POSTA KUSHIRIKIANA NA TANTRADE KURAHISISHA USAFIRISHAJI WAKATI WA MAONESHO YA SABASABA Shirika la Posta Tanzania (TPC) na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) wametiliana saini makubaliano ya ushirikiano wa kibiashara kwa ajili ya Maonesho ya 49 (SABASABA 2025), yatakayofanyika...
  7. JamiiForums Tanzania Sabasaba siku hizi imepoteza mvuto

    Maonesho haya zamani ilikuwa ni promotion za kufa mtu, yaani unaenda una saula unavyotaka, ila siku hizi Bei ya sabasaba, bora uende dukani tu. Kiingilio kilikuwa affordable kwa kila mtu. Sabasaba ilikuwa mtoko.
  8. JamiiForums Tanzania Chalamila: Rais Nyusi atapata kiwanja Dar na tutamsimamia wakati wa ujenzi

    Chalamila ameyasema hayo katika ufunguzi wa maonesho ya biashara Dar Saba Saba ambako Rais Nyusi wa Msumbiji alikuwa mgeni rasmi; "Sisi wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam kama ambavyo tunayo hamu wewe kuendelea kuwa mkazi wa Dar es Salaam, usiende tena kuishi mkoa mwingine. Nitumie nafasi hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…