manyerere jackton

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McLaren

    Mwanahabari Manyerere Jackton akiri kwa mchakato wa maoni CCM uligubikwa na rushwa

    Wakuu Akizungumza alipokuwa katika mahojiano kwenye kipindi cha Medani Kuu na Edwin Odemba alisema: “Nilishindwa Uchaguzi ndani ya CCM kwenye kura za maoni 2025 katika Jimbo la Butiama kwa kuwa sikutoa Pesa wenzangu walitoa"
  2. Ileje

    PostGE2025 Manyerere Jackton: Tatizo si Mabeberu, ni sisi wenyewe!

    Miaka 63 iliyopita, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliandika kijitabu Tujisahihishe, akionya tabia ya kutafuta mchawi nje ya nchi kila tukipatwa na matatizo tuliyoyasababisha sisi wenyewe. Mwalimu alisema ni rahisi kulaumu “mabeberu” au “watu kutoka nje” kuliko kujitazama na kukiri ukweli...
Back
Top Bottom