manabii wa uongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mungu akitujalia uzima, mwakani tutawajua dhahiri manabii wa uongo!

    Ndugu wapendwa, kama ilivyoandikwa katika Mt 24:11, hizi ni siku za mwisho; manabii wengi wa uongo wametokea na kuanza kuwadanganya wengi. Fuatilia Youtube na mitandao mingine utaona video nyingi za manabii wanaoeleza kwamba wameambiwa na Mungu waseme waliyoyasema. Miongoni mwa manabii hao ni...
  2. M

    Hizi ni nyakati za mwisho. Manabii wa uongo wanahubiri kuwa ikiwezekana Wakristo wasilimu ili mradi wapate mahala pa kusali.

    Waislamu huwaita Wakristo makafiri na kuwa Mungu wao sio wa ukweli hii ni kwa mujibu wa imani yao. Wakristo nao kwa mujibu wa imani yao wanaamini kuwa kuna Mungu mmoja tu. Nae ni Mungu wa Yakobo. Sasa ina kuwaje manabii hawa kushauri watu kwenda kusali misikitini kisa tu wapate mahala pa...
  3. Amka!! Mwamposa, Suguye, Lusekelo, Kuhani Mussa na wenzao ni manabii wa uongo

    Wasalaam Maisha ya Mwanadamu yamejaa tabu, ni lazima upambane, muujiza wa maisha yako upo katika bidii na juhudi katika kuzitatua changamoto zinazokujia Matatizo yanayokusonga yataisha tuu ama kwa wewe kufa, ama muda utayatatua, ama atayatatua mwingine, ama wewe mwenyewe utayatatua ukizingatia...
  4. Kuhusu manabii wa uongo Tanzania

    Ifike hatua hawa manabii wa uongo Tanzania waache kucheza na imani za watu maana wanajitafutia umaarufu kidg tu kisha waanza kupiga deals kupitia unabii mpauko. Hivi haiwezekani kuwatandika viboko hawa manabii wanaozuka kama uyoga mitaani? Kuna nabii mmoja Channel 10 wa mwenge mpakani anapiga...
  5. Kwa mujibu wa Biblia manabii wa uongo bado hawajatokea, hawa niwatafuta maisha tu

    Kwa utafiti wangu wa maandiko, manabii wa uongo bado hawajaanza kuja. Hawa tunaowatuhumu ni watafuta maisha, wanasaikolojia, waganga na wachawi wa kawaida tu. Biblia imetabiri watafanya Ishara hadi kushusha moto. Hapa bado sijaona nabii yoyote akifanya ishara yoyote ya ajabu. Vyote ni vya...
  6. Point ya huyu jamaa kuhusu dini na manabii wa uongo inafikirisha sana

    Mwamba na hoja asikilizwe.
  7. Vitu vya kukusaidia kuwatambua Manabii na watumishi feki na kuwakimbia

    Jamii Ina stress kubwa za kiuchumi, kimalezi, kimahusiano na za hisia za kurogwa. Wafanyamazingaombwe, waganga na matapeli jasiri wameiona hii fursa na kujitengenezea vilinge vya kujitajirisha kupita watu waliopoteza matumaini. Hivi ni vitu vichache vya kuzingatia kabla hujaamua kuwa mteja wa...
  8. M

    Una mtazamo gani juu ya ongezeko la manabii hapa nchini?

    Kumekua na wimbi kubwa la watu wanaojiita manabii likiongezeka kila kukicha na manabii wote hao wameanzisha makanisa yao. Manabii hawa wamekua ni wengi kuliko hata wale ambao wametajwa kwenye biblia takatifu. Kwa ulewa wangu mdogo ni kwamba wale manabii wa kale ambao walitajwa kwenye biblia...
  9. Sifa za Manabii wa uongo

    1. Wanajali zana pesa kuliko kumtumikia Mungu. 2. Wanaamini Yesu sio Mungu. 3. WANA MADHABAHU ZAO, hata maombi wanaomba kwa madhabahu ya mtumishi huo, sio kwa Jina la Yesu, wanaamini madhabahu yao ina nguvu, kumbe Nguvu zetu zinapaswa zitokane na Roho. 4. Injili zao muda mwingi ni za miujiza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…