Mamelodi is a township northeast of Pretoria, Gauteng, South Africa. A part of the City of Tshwane Metropolitan Municipality, it was set up by the then apartheid government in 1953.
Match Day
Pyramids FC Vs Mamelodi Sundowns FC | CAFCL Final | 2nd Leg | 30 June Stadium | 01-06-2025
2000hrs
VIKOSI VYA LEO
Pyramids
Mamelodi
Tukutane hapa kwa Updates zote Muhimu!!
Mchezo umeshaanza!
Fiston Mayele anawapatia goli safi Pyramids dakika 23
Dakika 7 zimeongezwa kufidia...
Mechi ya mkondo wa kwanza ya fainali ya CAF Champions League kati ya Mamelodi Sundowns na Pyramids FC itachezwa saa kumi jioni kwenye uwanja wa Loftus Versfeld.
Kaa nami hapa kwa matukio ya kusisimua kuhusu mechi hii kali
Tayari Kombe lipo uwanjani
Vikosi vya timu zote
Mechi imeanza...
CAF imemteua mwamuzi wa kimataifa kutoka Mauritania, Dahane Beida, kuchezesha mchezo wa marudiano wa fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika kati ya Simba SC na RS Berkane utakaopigwa Mei 25 huko Zanzibar.
Hawa ndio waamuzi wa VAR kwa mchezo wa Simba dhidi ya RS Berkane
• Mkuu wa VAR...
Ushindi wa Simba ulitegemea ushindi wa Mamelodi Vs Al Ahly,Pyramid Vs Kaizer
Endapo timu zote za South zingetolewa ijumaa,basi
wadingekubali timu yao ya Stellenbosch nayo itolewe
Bosi wa mamelodi ndiye bosi wa Caf ,uzalendo ungetumika tu.
VAR ni kifaa cha kijinga kinachochangia ugonjwa wa...
Hongera sana kwa Yanga kwa kazi ya kishujaa ya kuwatoa mabingwa wa Zanzibar, timu ngumu kabisa ya KVZ! 🎉
Kwa kweli mmeonesha kiwango cha juu mno, mpaka tukabaki kushangaa.
Sasa safari yenu ya kimataifa inaendelea kwa kishindo — hatua inayofuata ni kumkabili mshindi kati ya Pyramids FC na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.