mama kijacho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hivi vitimbi vya mama kijacho huisha lini?

    Kwema wakuu.. Kununa, kususa, hasira na mengine ya kufanana na hayo ni hadi kujifungua? Kadri siku zinavyosogea ndio vinazidi kuongezeka. Wenye uzoefu tupeane mbinu ili mambo yaende sawa. Kipi cha kufanya/kutokufanya.
  2. JamiiForums Tanzania Mjali mama kijacho wako

    MJALI MAMA KIJACHO WAKO Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Hakikisha unauhakika Mimba ni yako. Usiwe mpumbavu. Kitendo cha kuhakikisha Mimba ni yako ndio kujali kwenyewe 2. Mpe Maneno matamu mama kijacho wako 3. Msaidie kazi za nyumbani au mtafutie Msaidizi wa Kazi hapo Nyumbani 4...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…