mama anaupiga mwingi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mwehu ndama

    Ni muda muafaka wa kujihami kwa silaha yoyote kila wakati

    Uzi huu hauna lengo la kuhamisha machafuko.. Ila ni wazi Serikali tiifu wameishiwa mpango kazi. Nimekuwa Arusha kwa karibu siku nane mpaka sasa, na hakuna siku imepita bila mtu kutekwa na wanaojiita wanausalama. Wito wangu kwa waTanganyika wenzangu " hatuna mtu wakutulinda zaidi yetu sisi...
  2. Tajiri wa kinyankole

    Hadaa ziinazofanyika na ulaghai wa mama anaupiga. Mwingi ni kwasababu watu wanakula kulingana na urefu wa kamba yao

    Ukiona raisi anasifuwa na kutangazwa kila kona ya nchi na machawa , wafanyabiashara ku print nguo zake na kupa zawadi mbalimbali za upngozi bora ujue nchi hiyo inaelekea kuangamia Wote mnaona yale wanayoyasema mama kaupiga mwingi ni yapi Vituo vya afya ameacha amejenga JPM kila mkoa Sgr...
  3. 888I

    Rais anaupiga mwingi, ila kwanini tusifanye Reforms?

    NITATUMIA ALIYOYASEMA GWAJIMA PIA.. Kwa takwimu zao wenyewe, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinasema kimefanikiwa kuwasajili wanachama zaidi ya milioni 10 kote nchini. Hii si idadi ndogo. Hii ni jeshi la maana kweli kweli wameshashinda Uchaguzi kabla ya kupiga kampeni hapa. Tukigeuka upande wa...
  4. Ricky Blair

    Mama anaupiga mwingi; 5 mingine🤣

  5. M

    Mama anaupiga mwingi, deni la taifa amelipaisha hadi kufikia Tsh Trilioni 107

    Barabara , kajenga Mama Dpw kawaleta Mama Flyover.... mama Mwendokasi...mama Shirika la ndege la Zanzibar, Mama Watalii kuongezeka kwa wingi licha ya Tanapa kutokutoa gawio zuri kama inavyopambwa... ni Mama, sjui wanampiga tu huko, mi sijui Ngorongoro kote kule ni Mama Deni kalipaisha kwa...
  6. Shanily

    Katika vitu ambavyo Rais Samia anapokosea ni kukopa kopa. Hajui mikopo huleta umaskini

    Kwakua deni la Taifa Bado ni himilivu, mama aendele kukopa mpaka Kila mtanzania adaiwe milioni 10🤣. Katika vitu ambavyo mama ananikera ni kukopa kopa 😡 Hajui mikopo huleta umaskini hasa ikiwa inakopwa bila mpangilio maalum!?. Ndani ya miaka 3 mama kakopa kuwazidi watangulizi wake, halafu...
  7. M

    PreGE2025 Kigaila: Rais Samia hajaanzisha mradi wowote tangu awe Rais isipokuwa mradi wa mabango ya Mama anaupiga Mwingi!

    Kigaila adai Magufuli amekuwa mwaka 2021 tukiwa na miaka 60 ya uhuru ameacha tunadaiwa deni la Taifa Triolioni 59, sawa na wastani kwa Mwaka Trilioni Moja moja. Samia yuko Madarakani mwaka wa tatu tangu 2021 amepandisha deni la taifa kutoka trilioni 59 mpaka Trilioni 98 kwa wastani wa kukopa...
Back
Top Bottom