Wakuu, huyu hapa ni dada Mkatoliki aliyekuwa akichangia kwenye kipindi cha Malumbano ya Hoja cha ITV. Alijitambulisha kama Lucy Antony Michael, Katibu wa UVCCM, akitokea Wilaya ya Temeke.
Katika kauli yake, alisema kuwa wao kama vijana wa UVCCM wanasimama na Mama — yaani Samia Suluhu Hassan...