Natokea Halmashauri ya Tanganyika Mkoa wa KATAVI, kuna tatizo kwenye malipo ya likizo kwa Watumishi wa Serikali, mfano likizo ya December 2024 kuna Watumishi hawajalipwa pesa hata mia, cha ajabu Mwaka 2025 walilipa kidogo.
Yaani kama unadai shilingi Laki 5 basi unalipwa laki moja, ila kuna...
Kuna Halmashauri iliyopo mkoa wa Kigoma, suala la malipo ya likizo haipewi kipaumbele na ukiomba malipo yanakatwa bila kupewa sababu ya msingi.
Unachoambiwa ni ujaze Vendor Form alafu unaingiziwa kiasi wanachojua wao.
Je! Kwanini elimu isitolewe kuhusu malipo ya likizo ili kuepusha kunyimwa...
Anonymous
Thread
halmashauri
kigoma
likizomalipomalipoyalikizo
mkoa
tanganyika
umbali
watumishi
Imekua ni kero kubwa kwa kuwa malipo anayolipwa mtumishi kwa ajili ya likizo hayaendani kabisa na gharama za nauli za mabasi kwa sasa.
Fedha ni ndogo na ukiuliza maafisa utumishi wanajibu kuwa ni muongozo wa LATRA na wao hawawezi kubadilisha huo waraka.
Niombe LATRA waangalie hali ya maisha na...
Anonymous (c723)
Thread
gharama
halisi
likizomalipomalipoyalikizo
nauli
soko
umma
watumishi
watumishi wa umma
Habari ndugu zangu
Niko na changamoto kidogo. Nimefanya kazi na shirika X kwa muda wa miezi nane na kwenye mkataba wamesema kutakuwa na siku 28 za likizo ya kulipwa ambazo mimi sijatumia hata siku moja.
Sasa imetokea nimeresign, ila HR anasema siwezi kulipwa hio hela ya likizo kwa sababu mkataba...
Sisi Watumishi wa Halmashauri ya Rungwe Mkoani Mbeya tunajiuliza kuna shida gani Wilayani kwetu?
Pesa za likizo kwa Watumishi wa Umma kutotoka kwa wakati hilo jina jambo la kawaida, hali hiyo imekuwa ikijirudia mara kwa mara.
Mfano taarifa za likizo ya Mwezi Desemba 2024 zilianza kukusanywa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.