makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda anatoa wapi kiburi cha kuidharau Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora?

    Makonda amekaidi wito wa tume ya haki za binadamu na utawala bora, kiburi ameitoa wapi, Rais anachukuliaje hizo dharau? Km vp hiyo tume ifutwe au imeundwa kwa ajili ya kina nani. Makonda hafai kuwa kiongozi mkubwa, yupo kupumbaza wajinga. Pia soma: Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora...
  2. JamiiForums Tanzania Makonda aliraruliwa kwa kusema atataja mawaziri wanaomsema vibaya Rais. Mpina aliraruliwa kwa kusema waziri kavunja sheria ya sukari. Huyu atapona?

    1. Wakati wa mazishi ya hayati Edward Lowasa, akiwepo Rais wa JMT, aliyekuwa mwenezi wa chama cha mapinduzi alitamka kwamba atataja majina ya mawaziri wanaomsema vibaya Rais wa JMT. Maneno hayo yalikikasirisha sana chama cha mapinduzi. Akaitwa kwenye kamati ya maadili na kuraruliwa. 2. Mh...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Hii nchi kila mtu anaweza kuwa mkuu wa mkoa kama hata Makonda naye aliteuliwa basi kila mtu anaweza.

    Hivi wajameni tuseme ukweli mnauonaje uwezo wa yule bwana mdago makonda. Sidhani kama anajua hata ofisini yupo kwa ajiri gani. Anachofanya huwa hakieleweki yeye ni kutafuta kiki tu basi. Hata creativity ya maendeleo hata kidogo yeye ni kudeal na wadudu daily as if there is only one dimension in...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Makonda asimulia Jenerali Mabeyo alivyomuokoa kwenye sakata la makontena

    MKUU wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, amesimulia namna alivyookolewa na aliyekuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Venance Mabeyo katika sakata la makontena ya vifaa vya ofisi za walimu wa Dar es Salaam kwa kuwa kuna watu walitaka kumchomekea matrekta na magari kwenye makontena...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amos Makalla: Mbowe ni dhaifu, anashindwaje kesi na wanawake 19 na kumfukuza Lissu anayedai CHADEMA kimepokea hela chafu!

    Katibu Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM, CPA. Amos Makala amesema Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe kama alishindwa kumfukuza Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu @TunduALissu hana ujasiri hivyo asiwaaminishe watanzania kuwa kuna ujasiri wanapaswa kuwa nao. Akizungumza katika mkutano...
  6. G

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni ngumu kwa mtu ambitious kuridhika na Ukuu wa Mkoa, 2025 Makonda anaingia bungeni kwa kutumia jimbo gani?

    Makonda ni very ambitious, ni ngumu sana kutosheka na cheo cha RC, ili kuwa na vyeo venye power kubwa zaidi kama Uwaziri njia ya uhakika ni kuwa mbunge. 2020 alikurupuka ila round hii itakuwa kajipanga vilivyo swali, je atatumia jimbo gani?
  7. JamiiForums Tanzania Mwamposa atua Arusha kwenye mashindano ya Samia Motocross Championship

    Mkuu wa Kanisa la Arise and Shine (inuka uangaze) Mtume Boniface Mwamposa @bulldoza_mwamposa ameungana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Paul Christian Makonda aka baba_keagan wakikagua njia za mashindano ya pikipiki za SAMIA MOTOCROSS CHAMPIONSHIP yanayotarajiwa kufanyika kesho Julai 14, 2024...
  8. JamiiForums Tanzania Paul Makonda amkumbuka Hayati Magufuli, asema kilikuwa chuma. Asikitika fimbo kuondolewa mashuleni

    Paul Makonda akiwa kwenye mkutano jijini Arusha ameongelea mambo kadhaa ikiwemo kumkumbuka Rais wa awamu ya tano, Hayati John Magufuli jinsi alivyokuwa makini na mkali inapofika suala la uongozi. Paul Makonda: Ametoa takwimu hapo Ngorongoro girls watoto wanashindwa kuendelea na masomo, yaani...
  9. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Makonda aliacha vita ya ushoga kwa sababu hii anayoisema maalim

    Maalim anasema Makonda aliacha harakati za kupinga ushoga kwa sababu ya mashoga kuanza kuwataja mabasha wao ambao hali ilikuwa mbaya. Je ni kweli?
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: Harusi yoyote itakayofungiwa Arusha Serikali ya mkoa italipia ukumbi

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda amesema sherehe ya harusi yoyote itakayokuwa inafanyika Mkoani Arusha na kuhusisha wasiokuwa Wakazi wa Mkoa wa Arusha, Serikali ya Mkoa chini yake itagharamia ukumbi popote ndani ya Mkoa huo ili kufanikisha harusi hiyo. Makonda amesema hayo wakati...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Makonda tafadhali wana Arusha tunaomba mshawishi Mwamposa atuletee mkesha mkubwa na sisi na majirani zetu

    Pole na majukumu ya kikazi mkuu wetu wa mkoa na hongera kwa kuendelea kuipigania Arusha. Ninaiomba tumia ushawishi wako baada ya mimi kuhushudia mkesha mkubwa ulofana sana kule Dar ninaomba mkesha ule uje na hapa kwetu Arusha kwani mkoa huu unahitaji sana upako wa namna ile. Kuna roho...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kwa yanayoendelea sasa Arusha, najiuliza, Makonda alipangiwa kuwa Mkuu wa Mkoa Arusha kwa maslahi ya Taifa au ya wawekezaji toka Uarabuni?

    Kwa wale mlio wakazi wa Arusha na Manyara huko, nadhani mmeona kwamba hivi karibuni kumekuwa na shughuli nyingi zinazohusu wale wanaosemwa kuwa wawekezaji nchini toka mataifa ya Uarabuni. Mara kadhaa Makonda ameonekana kushiriki kikamilifu katika shughuli wa "Wawekezaji" hawa. Madege makubwa...
  13. JamiiForums Tanzania Paul Makonda na Mrisho Gambo wako katika vita kubwa Arusha

    Heshima sana wanajamvi. Mkuu wa Arusha Mh Makobda aka Bashite na Mbunge wa sasa Arusha Mjini Mrisho Gambo wapo katika vita kubwa ya kuomba ridhaa ya chama ya kuwania ubunge wa Arusha Mjini kupitia CCM. Makonda kupitia harakati mbali mbali ikiwemo kuandaa utatuzi wa kero za kisheria hasa...
  14. JamiiForums Tanzania Zoezi la Huduma za Afya aliloanzisha Makonda liwekewe utaratibu kwa kila mkoa

    Nipongeze ubunifu huu wa kipekee ambao umefanywa na R.C Makonda. sasa ni muhimu ukawekwa utaratibu kwa kila Mkoa kufanya jambo hili ikibidi kwa mwaka mara moja. zoezi hili lipewe jina la "wiki ya Afya kitaifa" ambapo madaktari bingwa nchini watatoa huduma zao bure kwa wananchi . KWA HISANI YA...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Makonda ni karata muhimu CCM kwa jimbo la Arusha mjini 2025. Anafaa kupewa jimbo.

    Katika majimbo yanayoleta changamoto kubwa kwa CCM nyakati za uchaguzi ni jimbo la Arusha mjini. Kibaya zaidi changamoto kubwa huwa ni ndani ya CCM kwenyewe wakati wa kupata mgombea ubunge kupitia CCM. Kwa utafiti wangu binafsi nadhani CCM Arusha ndo imejaa mamluki wengi sana wa CHADEMA kuliko...
  16. JamiiForums Tanzania Natafuta namba ya msaidizi wa Makonda.

    Kuna utapeli mkubwa unafanyika na serikali ipo kimya. Tena utapeli wa kutumia idara za serikali. Nina ushahidi wote wa namba za wahusika. Naomba mwenye namba ya msaidizi wa Makonda ili nimtumie ushahidi wote na nyaraka za kufoji. Tumepeleka taarifa polisi tangu February 2024, ila utapeli...
  17. JamiiForums Tanzania Makao Makuu ya EAC Makonda hoi bin taabani.

    Yule Mkuu wa mkoa mwenye makeke mengi katulizwa tulii baada ya kuwasumbua wala nchi. Makosa yake ya nyuma na lile tambiko la Lissu limemkamata kweli kweli. Ni suala la muda tu ukweli na uwazi utawekwa hadharani. Ngongo kwasasa Makuyuni.
  18. JamiiForums Tanzania Makonda alipopigana vita dhidi ushoga na madawa ya kulevya mlisema anadharirisha watu. Leo hii mnalialia nini?

    Mara mtandao wa X ufungwe mara vijana wanajiharishia kwenye mabasi ya mwendo kasi. Mara hoo wanavaa pampasi. Sasa kwa nini mlimdhihaki na kumpinga Makonda. Shujaa anayefuata nyayo za Shujaa wa Afrika?
  19. S

    JamiiForums Tanzania Mh. Makonda wananchi wa King'ori na Kikatiti watanyanyaswa mpaka lini

    Mh. Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda mabasi yanayotakiwa kwenda Kikatiti na King'ori maarufu km Covid hunyanyasa sana wananchi wanaoenda njia tajwa. Hqya magari vibao vinaonesha yanatakiwa yaende mpaka King"ori badala yake huishia Maji ya Chai. Latra mkoa wa Arusha ni bomu, wamelalamikiwa...
  20. JamiiForums Tanzania Natoa pongezi kwa Jerry Silaa na Paul Makonda kwa kushughulikia matatizo ya Watanzania maskini

    Nikiwa kama mwananchi ninapenda kutoa pongezi zangu za dhati kwa hawa Waheshimiwa wawili. Kwa kweli wamekuwa ni viongozi wa mfano ambao kwa kiasi kikubwa wanashughulikia matatizo ya watanzania maskini na wenye uhitaji. Hivi ndivyo viongozi wote wanapaswa kuwa na ili kuweza kumsaidia Mhe. Rais...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…