Moja ya maajabu ya dunia nayo endelea kushuhudia na dunia inayo endelea kushuhudia ni jeshi la Israel(IDF) ni kuendelea kupigana na Hamas mpaka leo toka 2023 mpaka sasa 2025.
Pamoja na hali ya kutisha ya uharibifu inayo endelea Gaza bado jeshi la Israel halijatimiza lengo hata moja lililo...
Wadau hamjamboni nyote?
Jenerali Esmail Qaani Kamanda Mkuu kikosi maalumu cha Jeshi la Iran cha Quds amepotea na hajulikani alipo
Mara ya mwisho alitembelea Lebanon mara tu baada ya kuuawa Kwa Kiongozi Mkuu wa Hezbollah Hassan nasrallah
Tokea wakati huo mawasiliano naye yamekatika!
Taarifa...
Wadau hamjamboni nyote?
Makomandoo wa IDF wamefanya shambulizi la kushtukiza na kufanikiwa kumuokoa Mateka mmoja ndani ya handaki Leo asubuhi
Kazi hiyo maalumu ilifanywa na kikosi maalumu cha makomandoo wenye weledi mkubwa almaarufu Navy’s elite Shayetet 13 unit.
Hostage Qaid Farhan al-Qadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.