Makamu wa Raisi Dkt MPANGO Aagiza Homilia hii ya Askofu mkuu jimbo katoliki la Mbeya Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga Irudiwe kwenye Vyombo vya Media ya Serikali
https://m.youtube.com/watch?v=h483w5Qe2fI
Habari kamili :
Ibada hiyo imeongozwa na Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Mbeya...
Kulingana na Pole pole mtu ukishakuwa makamu wa raisi hutakiwi kuwania uraisi sasa inamaana samia anawania uraisi kwa katiba gani ?
Unajua huyu msajiri wa wa vyama vya siasa nae simuelewi sijui hili halioni ?
Polepole atufumbua macho ndani ya CCM kuwa wanataratibu zao kama ulishakuwa Spika, Waziri Mkuu au Makamo wa Rais hutakiwi kuchukuwa fomu ya kugombea Urais.
Ina maana kijiti alichonacho leo kushika uraisi alitakiwa asichukue fomu.
Makamu wa raisi ni nani ? Kulingana na jamuhuri ya muungano wa Tanzania huyu ni mtu wa pili kwenye nchi badala ya raisi na anaweza kuchukua madaraka badala ya raisi.
Hivi makamu wa raisi anapigiwa kura na nani ? Watu wengi wanapiga kura kumchagua raisi tu sio makamu wake lakini makamu wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.