majiko ya gesi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Kaya 3,255 kunufaika na Majiko ya Gesi Katavi

    Wananchi Kijiji cha Usevya Wilaya ya Mlele mkoani Katavi wamepongeza hatua zinazochukuliwa na Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) katika kuhakikisha wanafikiwa na nishati safi ya kupikia kwa bei ya ruzuku. Wametoa pongezi hizo kijijini hapo Agosti 12, 2025 wakati wa zoezi la...
  2. GE2025 Dodoma: Watumishi Magereza 1611 wapewa majiko ya gesi

    Katika utekelezaji wa Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia, Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umegawa majiko na mitungi ya gesi kwa Maofisa na Askari wa Jeshi la Magereza katika mikoa 14 nchini ili kulinda afya zao kwa kuwaondoa kwenye matumizi ya kuni na mkaa. Akizungumza...
  3. PreGE2025 Watumishi wa Magereza Manyara wapatiwa majiko ya gesi

    WATUMISHI WA MAGEREZA MANYARA WAPATIWA MAJIKO YA GESI 📌Mifumo ya uzalishaji wa bayogesi 126 mbioni kuanza 📌REA, Jeshi la Magereza kununua mashine 61 za mkaa mbadala 📌REA kuwajengea uwezo magereza uendelezaji miradi ya nishati safi 📌Mha. Saidy amewataka magereza kuwa mabalozi wa nishati safi...
  4. C

    DOKEZO PreGE2025 Mbunge wa jimbo la Moshi Mjini agawa sh. 50,000/= na majiko ya gesi kwa wajumbe kiubaguzi huku akiwaomba wampigie kura za maoni

    Baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM kata za Jimbo la Moshi Mjini wamealikwa na Mbunge wa jimbo hilo Mhe. Priscus Tarimo katika ukumbi wa CCP uliopo Chuo cha Polisi Moshi leo 19.6.2025 kwa ajili ya kugawiwa majiko ya gesi pamoja na fedha Tsh.50,000/= ambayo aliitoa kwa mafungu mawili ya...
  5. PreGE2025 Oliver Semuguruka atoa majiko ya Gesi kwa Wanawake Wajane, Bukoba

    Leo tarehe 22 Aprili, 2025, Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Kagera, Mhe. Oliver Daniel Semuguruka, amekabidhi mitungi ya gesi zaidi ya hamsini (50) kwa wanawake wajane wanaoishi katika Halmashauri ya Bukoba. Akizungumza katika Baraza Maalumu la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Bukoba...
  6. Nauza laptop & phone accessories/solar /flat TV na majiko ya gesi kwa jumla na rejareja bei mserereko

    Ukiitaji chochote hapo juu mkuu nicheki Bei zangu ni za viwandani na bidhaa ni uhakika. Pia ukiitaji ushauri kuhusu biashara hizi nipo tayari Mikoani natuma kwa uaminifu Sana Whatsup 0764225747 Kwa Mungu yote yanawezekana
  7. PreGE2025 Mwenyekiti CCM Iringa Vijijini atoa mitungi ya gesi 143 pamoja na viti 15 na meza Mbili katika kata ya Nyangolo, Malengamakali

    Akitoa Gesi hizo 143 katika kata ya Nyangolo, Malengamakali pamoja na viti 15 na meza Mbili kwa kila kata kwa Niaba ya Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Iringa vijijini Ndugu Constatino Kiwele, Katibu wa UWT Wilaya ya iringa vijijini ndugu Sophia nyalusi aliwaomba Mabalozi wa kata hizo mbili...
  8. PreGE2025 Wajasiriamali zaidi ya 200 mkoa wa Rukwa wamekabidhiwa majiko ya gesi kutoka kwa Rais Samia

    Wajasiriamali zaidi ya 200 wanaouza Chakula katika Soko la Mandela Wilaya ya Sumbawanga Mkoani Rukwa wamekabidhiwa majiko ya gesi yatakayowawezesha kufanya shughuli zao kwa urahisi. Majiko hayo yamekabidhiwa na Mkuu wa wilaya ya Sumbawanga Nyakia Ally kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  9. M

    PreGE2025 Tafakuri: Haya Majiko ya Gesi wanayogawa Wabunge kila kona yanatoka wapi?

    Wanajamvi sijui kama na nyie mnaona au ni mimi tu,nimekuwa nikifuatilia kwa muda sasa naona Wabunge wanagawa sana Majiko ya Gesi majimboni mwao. Ninachojiuliza ni kwamba wanaigana au wanakubaliana kuwa ndiyo zawadi nzuri au kuna maelekezo au kuna sehemu wamepata majiko hayo kwa fadhila au ni...
  10. B

    PreGE2025 Mbunge Samizi amuunga mkono Rais Samia kwa kugawa majiko ya gesi 400. Wananchi wamchukulia fomu

    Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma, Dkt. Florence George Samizi amesoma Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM kutoka mwaka 2020-2023 ambapo ametumia mkutano mkubwa uliofanyika katika ukumbi wa 10M Kibondo kueleza kwa wananchi wake mambo makubwa aliyoyafanya pamoja na Serikali ya Rais...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…