majiko banifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PendoLyimo

    Mradi wa majiko banifu watambulishwa Kigoma

    MRADI WA MAJIKO BANIFU WATAMBULISHWA KIGOMA 📌 Majiko banifu 8,424 kusambazwa na kuuzwa kwa bei ya ruzuku mkoani Kigoma 📌 Wilaya Sita kunufaika na mradi 📌 Kila Wilaya kupata majiko 1,404 📍 KIGOMA Wakazi wa Kigoma waaswa kuunga mkono jitihada za Serikali katika utunzaji wa mazingira kwa...
  2. PendoLyimo

    Majiko banifu kupunguza matumizi ya mkaa na kuni Mbeya

    MAJIKO BANIFU KUPUNGUZA MATUMIZI YA MKAA NA KUNI MBEYA . 📌 Majiko banifu 9,330 kusambazwa na kuuzwa kwa bei ya ruzuku mkoani Mbeya 📌 Wilaya Sita kunufaika na mradi 📌 Kila Wilaya kupata majiko 1,555 📍 MBEYA Serikali ya Mkoa wa Mbeya kupitia Katibu Tawala wa Mkoa Ndugu, Rodrick Mpogolo leo...
  3. PendoLyimo

    REA kuanza usambazaji na uuzaji wa majiko banifu mkoani Rukwa

    REA KUANZA USAMBAZAJI NA UUZAJI WA MAJIKO BANIFU MKOANI RUKWA . Katibu Tawala wa Mkoa wa Rukwa Ndugu Msalika Makungu, leo Agosti 27, 2025, ametembelewa na ugeni kutoka Wakala wa Nishati Vijijini katika ofisi yake iliyopo katika mtaa wa 1 Barabara ya mkoani mkoa wa Rukwa.. Wakala huo ambao...
  4. PendoLyimo

    REA Kusambaza majiko banifu 10,650 mkoani Pwani

    REA KUSAMBAZA MAJIKO BANIFU 10,650 MKOANI PWANI 📌RC Kunenge aipongeza REA kwa kuhamasisha matumizi nishati safi *📌Mifumo ya umeme jua kuchochea upatikanaji wa umeme kwa asilimia 100 ifikapo mwaka 2030* 📍Pwani Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imetoa jumla ya Majiko Banifu 10,650 Mkoani Pwani...
  5. W

    PreGE2025 Kigoma kuuziwa majiko banifu ya ruzuku kwa Tsh. 10,000

    KIGOMA: MAMA lishe na walengwa wa kusaidia kaya masikini Manispaa ya Kigoma Ujiji wanatarajia kunufaika na ugawaji wa majiko banifu yaliyogaiwa na Mamlaka ya Nishati Vijijini (REA) kuhamasisha matumizi ya nishati safi na utunzaji mazingira Makundi hayo yatanufaika na ruzuku ya 80% ya majiko...
  6. S

    SoC04 Mkakati huu una tija zaidi katika hifadhi endelevu ya misitu

    Kuna nchi ninayotamani kuona ikijengeka, tena kwa kasi. Hii ni Tanzania iliyosheheni miti, misitu na uoto mwingine. Ili kuipata nchi ya aina hii, tunapaswa kutengeneza mikakati madhubuti, na kuisimamia ipasavyo. Kama nchi nyingine, Tanzania imeshuhudia changamoto kubwa ya mabadiliko ya tabia...
Back
Top Bottom