maji ya dawasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Kimara Kilungule mara ya mwisho tulipata maji ya DAWASA Oktoba 30, 2025

    Mimi ni Mkazi wa Kimara Kilungule kwa Mkua. Kero yangu inahusu DAWASA mara ya mwisho maji kutoka ilikuwa tarehe 30/10/2025. Je, ni kwamba hii mamlaka imetusahau kabisa? Maana tuliambiwa mgao wa maji umeisha tumesubiria lakini wapi, je hii huduma kwetu ndiyo basi? Napata tabu sana nanunua ndoo...
  2. Mad Max

    Mnaochimbiwa visima Dodoma mnapigwa sana. Ni ngumu sana visima vyenu kudumu miaka zaidi ya mitano!

    Wimbi la makampuni feki yake kuchimba visima jijini Dodoma (na mikoa mingine) limekua kwa kasi sana, kutokana na changamoto ya maji na kasi ya ukuaji wa mji. Sasa kushindana bei, wengi wao wasiowaaminifu wameanza uhuni na ujanja ujanja, ambao madhara yake hayataonekana ndani ya siku 2 au mwaka...
  3. Mwande na Mndewa

    KERO Maji ya DAWASA tabu Kinyerezi, Nakala kwako Mbunge, RC, DC, Waziri na kwako Mh Rais

    - Tatizo hili linaendelea hata baada ya kukamilika mradi wa maji wa tanki la bangulo uliogharimu bilioni 36.8 na maji hamna Kinyerezi. Wakazi wa Kinyerezi wapo katika wakati mgumu maji ya Dawasa yanatoka dakika 30 mara moja kwa mwezi,magari ya maji boza yanauza maji ya chumvi sh 24,000 lita...
  4. NAMDORY

    DOKEZO KERO Tunapewa maji yasio safi na salama. Kwa matumizi ya binadamu. Wakazi wa Mbagala Mwanamtoti kutoka mtambo wa kuzalisha maji mtoni

    Ndugu zangu wa DAWASA tunapokea maji yenu lakini hayana ubora unaostahili ni hatari sana kwa afya za binadamu 1. Sidhani kama yanafanyiwa usafi (Cleanliness) 2.Yanatibiwa(Treatment) 3. Maji yenu Yana ugumu (Hardness of water) 4. Maji Yana harufu 5. Maji Yana kutu 6. Sisi wananchi wa...
Back
Top Bottom