Wakati Rais Samia Suluhu Hassan anaingia madarakani tarehe 17.03. 2021,
Mwaka huo wa 2021 Tanzania ilitimiza miaka 60 ya Uhuru baada ya uhuru wake wa 9 dec 1961.
Katika kipindi hicho Serikali iikua imefikisha huduma ya maji kwenye jumla ya vijiji 5258 hii ni kwenye awamu zote Tano...
Waziri wa Maji Juma Aweso amesema upatikanaji wa Maji kwa Sasa ni asilimia 83 katika maeneo ya vijijini na 91.6 mijini.
Kauli hiyo ameitoa Leo bungeni wakati akiwasilisha makadirio ya Mapato na matumizi kwa Wizara hiyo katika bajeti ya mwaka 2025-2026.
Waziri Aweso amesema upatikanaji wa...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Mwajuma Waziri, ametangaza kuwa hali ya upatikanaji wa maji nchini imefikia asilimia 83 vijijini na 91.2 mijini. Ametoa takwimu hizo leo, Machi 22, 2025, katika uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Maji ya mwaka 2002 Toleo la Mwaka 2025, uliofanyika katika Ukumbi...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imekagua mradi wa Wakala wa Maji Vijijini (RUWASA) katika Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni Mkoani Singida tarehe 15 Machi, 2025.
Mradi huo hadi kukamilika kwake unatarajiwa kugharimu shilingi bilioni 13 na unatarajiwa kunufaisha vijiji 11...
KAZI YAKAMILIKA UTEKELEZAJI MRADI WA MAJI SAME-MWANGA
Mradi wa Maji Same-Mwanga maelekezo ya Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kupitia makamu wa Rais Mhe Dkt Philip Isidor Mpango kwamba kazi ikamilike mwishoni mwa mwezi wa sita sasa yametimia.
Tone la kwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.