maji safi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania LHRC Yafuatilia Wimbi la Malalamiko Kuhusu Uhaba wa Maji Safi na Salama Nchini

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kinaendelea kufuatilia taarifa kutoka maeneo mbalimbali nchini kuhusu changamoto za upatikanaji wa huduma ya maji. Taarifa zinazoendelea kuripotiwa zinaonesha kuwa wananchi wengi bado wanakabiliwa na uhaba wa maji safi na salama pamoja na huduma zisizo...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Kambi ya Waziri Aweso Mwanza, huduma maji safi yarejea awaonya watumishi

    KAMBI YA WAZIRI AWESO MWANZA, HUDUMA MAJI SAFI YAREJEA AWAONYA WATUMISHI Kambi iliyowekwa jijini Mwanza na Wazir wa maji Jumaa Aweso, imeleta manufaa kwa wakazi wa Jiji la Mwanza baada ya huduma ya maji safi kurejea katika maeneo mbalimbali. Baada ya kambi hiyo ya siku nne Jiji Mwanza...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Je, mabomba ya maji safi yanayopita mitaroni hayahatarishi afya ya wananchi, hasa ikitokea yamepasuka mtaroni? Wataalamu watuelimishe

    Katika maeneo mbalimbali nchini, hususan kwenye miji mikubwa kama Dar es Salaam, Dodoma, Mwanza na mingineyo, ni jambo la kawaida kuona mabomba ya kusambaza maji safi yakipita ndani au pembeni mwa mitaro ya kupitisha maji machafu. Hali hii imekuwa ikinifanya niwe na maswali mengi ambayo naamini...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mtwara: MTUWASA wanahujumu Maisha na Afya za watu wa Shangani

    Mamlaka ya maji safi na taka Mtwara mjini imeshindwa kutoa maji kwa wakazi wa shangani east, sijui na maeneo mengine kwa muda wa takriban miezi miwili. Afya za watu hawa zipo hatarini kwani hakuna vyanzo vingine vya maji wanaweza kupata watu hawa. Jitahidini kuja na majibu ya changamoto hii...
  5. JamiiForums Tanzania KERO Zaidi ya nyumba 90 Intel-muriet-Arusha, tuna changamoto ya kukosa maji safi na hili tatizo lina mwezi na hua lina jirudia mara kwa mara

    Mimi ni mwananchi wa Arusha kata ya muriet-intel karibu na idara ya maji , ni mwezi sasa wananchi wa mtaa huu hatuna maji kutoka hapo idara ya maji na hili tatizo limeota mizizi sasa maji hakuna na hua linajirudia rudia mara nyingi, Tumejaribu kuwafata ofisini idara za maji wanasema...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia watumishi usituongezee mshahara tena, hii miaka 2 kila kaya ipate maji safi

    Hata shetani anajua kuwa Tanzania ina Rais bora kabisa na mwenye utu. Haijawahi kutokea ndani ya miaka 4 mfululizo watumishi kula shushu kiasi hichi. Sasa hivi ofisi za umma parking tunagombania, watumishi tunalala mahali pazuri sasa yaani tuna nyumba nzuri za kisasa. Watumishi ndio wamiliki...
  7. M

    JamiiForums Tanzania KERO Waziri wa Maji, Jumaa Aweso upo wapi kuzungumza ni lini huduma ya maji safi na salama itapatikana Jijini Dar-es-salaam?

    Wakuu habari zenu! Sasa hv kila kona ya Dar-es-salaam ukipita unaona hali ni mbaya mno katika upatikanaji wa Maji safi na salama. Jiji la Dar-es-salaam halina mito ya asili ambayo inaweza kuwa ni mkombozi wa upatikanaji wa maji kama ilivyo kwa mikoa mingine. Hali ni mbaya mno, wananchi...
  8. V

    JamiiForums Tanzania Tunachimba visima vya maji vya kisasa

    Karibuni Sana wells technology wachimbaji wa visima vya maji safi na salama borehole gharama za uchimbaji kisima ni kwa mita Dar es salaam na pwani mita moja 90,000 Mikoani mita moja 140000 Gharama zinacover uchimbaji mpk kufunga pump mawasiliano 0657710078 . 0769509666
  9. V

    JamiiForums Tanzania Wachimbaji visima vya maji safi

    ✍️KARIBUNI SANA Wells technology wachimbaji visima vya maji safi na salama kwa matumizi ya binadamu wanyama na mimea Leo tutakupa hatua FUPI za kufata KABLA HUJACHIMBA KISIMA Cha kisasa ✍️hatua ya kwanza ni geophysical survey yaan utafiti wa maji ardhini katika eneo lako hapo atakuja mtalaam na...
  10. V

    JamiiForums Tanzania Wachimbaji visima vya maji safi na salama

    UTARATIBU WA KUCHIMBA KISIMA. 1. Ukitaka kuchimba kisima unatakiwa kufanya utafiti wa awali ili:- ● Kuangalia jiolojia ya eneo husika ● Kuangalia uwezekano wa kuwepo mikondo ya maji ardhini ● Historia ya eneo husika kuhusiana na suala la maji. 2. Gharama za kuchimba kisima/Visima hutegemea...
  11. JamiiForums Tanzania Tatizo la maji safi na salama Marekani!

    Katika pitapita zangu za kisomi nimejikuta natambua kuwa pamoja na uzee wa Taifa la Marekani bado kuna maeneo mengi hayana maji safi na salama
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakazi zaidi ya 300 wa kitongoji cha Makei, kata ya Bangala wilayani Same watatuliwa changamoto ya ukosefu wa maji safi iliyodumu kwa miaka 20

    Wakazi zaidi ya 300 wa kitongoji cha Makei, kijiji cha Bangalala kata ya Bangala wilayani Same wameondokana na changamoto ya ukosefu wa maji safi hali ambayo imewatesa kwa muda zaidi ya miaka 20, hali hii inakuja baada ya Wakala wa Maji Safi na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) kutekeleza...
  13. JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Moshi Manispaa, MUWSA, tunaomba mtenganishe Bill za kulipia maji na Notice ya kukatiwa maji

    Mamlaka ya maji safi na salama Moshi - MUWSA, Sasa wanafanya kazi kwa mazoea kama sio kufuru na kudharau wateja wa maji safi na salama. Kauli inayosema "mteja ni mfalme" imegeuka na sasa mteja anajisikia kama mtumwa. Tabia mliyoanzisha ya kutuma bill za maji leo na kuwakatia wateja maji leo...
  14. JamiiForums Tanzania KERO Ukosefu wa maji safi na salama Vigwaza, nini kifanyike?

    Kutokana na changamoto ya maji Vigwaza, huku ikiwa ni karibu na chanzo cha maji ya mto Ruvu, 1: DAWASA HAWANA TAARIFA? "WIZARA YA MAJI" 2: VIONGOZI HAWASHUGHULIKII HILI SUALA AU NI WANANCHI WAMEZOEA MAJI YA MASHIMO? 3: N. K
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Nyang'homango Usagara Mwanza hakuna maji safi ya bomba tangu uhuru

    Wakazi wa Nyang'homango kata ya Usagara jijini Mwanza hawajawai kuwa na maji ya bomba tangu nchi hii ipate uhuru japokuwa ipo umbali wa kilometa 6 kutoka Buhongwa Wananchi wanapambana kujenga na kukuza mji na hivi karibuni Chuo cha Uhasibu (TIA) campus ya Mwanza imefunguliwa hapo. Watu...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Acheni uongo, nyama ya kuku anayekula majalalani. haiwezi kuwa bora kuzidi anayetunzwa ndani, mlo kamili, maji safi, matibabu,chumba safi cha umeme

    Acheni uongo, nyama ya kuku anayekula majalalani. haiwezi kuwa bora kuzidi anayetunzwa ndani, mlo kamili wa gharama, maji safi na kuhudumiwa kitabibu Kichwa cha habari chahusika Niwatakie siku njema
  17. Y

    JamiiForums Tanzania Fundi bomba majumbani na maofisini free site visit

    Habari viongozi naiman mpo poa nipo hapa kutangaza biashara yangu mimi noifundi bomba wa majumbani na building materials pia ambae nimebobea pia tuna duka la hardware lipo kariakoo kwa huduma zaid 0699361938
  18. JamiiForums Tanzania Wananchi Mabogini Moshi wapaza sauti tatizo la Maji safi na salama

    Wananchi wa Kata ya Mabogini wilaya ya Moshi Vijijini wamepaza sauti na kuitaka Mamlaka ya maji safi na uondoshaji majitaka Moshi mjini (MUWSA),kulitafutia ufumbuzi wa haraka tatizo hilo. Wananchi hawa wanapaza sauti kupitia group la WthsApp la Maendeleo Mabogini . Hapa chini ni moja ya...
  19. JamiiForums Tanzania "Congo syndrome" ugonjwa unaoitesa Afrika

    Pamoja nauwepo maji ya kutosha lakini watuwanakosa maji safi na salama ya kutumia Hivi karibuni, katika Jiji la Nairobi nchini Kenya, ilizinduliwa Taarifa kuhusu Hali ya Mazingira ya Afrika kwa mwaka 2024, ikiangazia zaidi suala la upatikanaji maji salama barani humu. Kikubwa katika uzinduzi...
  20. H

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Kero ya maji safi jijini Dodoma, Waziri Aweso ingilia kati

    Yapata wiki tatu sasa jiji la Dodoma hususan mitaa yote ya Kisasa maji hayatoki. Cha kushangaza sio mamlaka ya maji Dodoma (DUWASA) au mamlaka za Serikali Wilaya na Mkoa wa Dodoma waliojitokeza kutoa ufafanuzi juu ya changamoto hii ambayo sasa imegeuka kuwa kero na hadha kubwa kwa wananchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…