Unaingiaje kwenye uchaguzi Mkuu wakati huo Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ambaye ndo mpinzani wako mkuu yupo mahabusu, na kama haitoshi, chama kimefutiwa Ruzuku yake, kimezuiliwa kufanya shughuli zake za kisiasa, kimebanwa kila kona.
Katika mazingira hayo, hapo kuna uchaguzi gani...
Hatua ya Kwanza
Mgombea Mwenza anatoka hadharani tarehe 11/ 08/ 2025 na kudai kuwa chakavu wanahitaji 100B waweze kufanikisha kampeni ya kubakiza Costra Nosta sebuleni kwao. Roadmap ni harambee scheme
Hatua ya pili
Tarehe 12/ 08/ 2025 inafanyika harambee kabambe ambapo jumla ya Bilion 86+...
Wana mtandao wa CCM wamefanikiwa kuteka taifa letu
Sasa kwa gharama ya bilioni 700 za walala hoi muda ambao hakuna pesa za kuwalipa makandarasi wa barabara na reli nchi inaenda kwenye chaguzi za maigizo za chama tawala na chama sindikizi ambacho kilitengenezwa na mwana mtandao asilia
Uchaguzi...
Uchaguzi hauwezi kufanyika bila upinzani wenye nguvu na uwepo wa haki kinachoenda kufanyika ni maigizo sio uchaguzi.
Hakuna uchaguzi bila mabadiliko bali maigizo.
Bila chama cha upinzani chenye nguvu kushiriki uchaguzi hakuna uchaguzi bali maigizo na udanganyifu ambao haukubariki.
Chama cha upinzani kipo sahihi kuhamasisha mazingira ya uwazi na kidemokrasia kwenye uchaguzi ili uchaguzi wetu usiwe wa maigizo na udanganyifu.
Nimemfuatilia huyu Kiduchu na bosi wake, nimegundua wanapoteza muda mwingii sana kufosi kuleta kitu mjini ambacho hakipo.
Hakuna mahusiano kama haya kati ya Boss na House girl.
Vitu vya kuigiza vipo vingi. Watafute Contents nyingine.
Mambo vipi?
Mimi kwa akili zangu tu ninavyoona watanzania wanaofuatilia kesi ya UHAINI inayomkabili kamanda TUNDU LISSU na kufikiri hataukumiwa kifungo cha maisha wote ni wajinga kwa sababu pale kisutu kinachofanyika ni maagizo na maigizo kutoka juu ili kumpotezea muda wa kufanya kampeni zake...
Toka TLP, CUF, ACT, UDP NA CHADEMA ya Mbowe ni maigizo
Miaka 30 Watanzania tunafanyiwa maigizo ya siasa uku watu wakizidi kutajirika tu!!
Angalia ukwasi wa Mbowe, Cheyo, lipumba yaani ni ujasiliamali!!
Sasa Tundu Lissu kawaumbua ndani ya miezi 2 tu
Miaka 30 ya maigizo na kuuza utu
Uzuri...
1. Unazini mwaka mzima ukija Mwezi huu ulivyokuwa mrahibu wa ngono unaharalisha ufuska wako kwa kuoa single maza ambaye unaachana nae miezi mitatu baadae (ungefunga ngono badala ya chakula ungekuwa umefanya cha maana)
2. Kila siku wala kwa meza migahawani ila leo eti unataka wakuwekee kwenye mkeka
Utangulizi
Tamthilia ni sanaa ya maigizo ambayo huweza kuwasilishwa jukwaani, redioni, au hata kwenye televisheni. Hapa Tanzania, tamthilia zimekuwa sehemu muhimu ya burudani, elimu, na mafunzo ya kijamii. Ili kuandika tamthilia nzuri, ni muhimu kuelewa muundo wake, mbinu za uandishi, na jinsi...
Katika pitapita zangu mjini Mwanza, nimeona barabara kuu mbili zote zina wakandarasi zikiboreshwa kutoka njia mbili mpaka nne, na inasemekana wanaacha nafasi kubwa katikati Kwa ajili ya mwendo Kasi,
Sema sasa MAIGIZO ni mengi yaani ni kama mambo hayaendi!!
Nata to Igoma:- barabara mkandarasi...
Nchi imeingia kwenye siasa mbaya naweza kuziita za ki "mbumbumbu" sana tangu kupata uhuru yani siasa za maigizo na vituko badala ya siasa za hoja na maono na mipango mbalimbali ya kimaendeleo kutoka kwa wagombea badala yake tunaona mara sijui waziri anagala gala chini mbele ya mgombea mara...
Kipindi cha jk watu walifurahia kupiga kura kwa sababu kila kura ilikuwa na thamani na aliyeshinda ndo alitangazwa.
Lakini tangu Hayati Magufuli aingie madarakani tanzania ikawa jehanamu ya kila uozo. Vyama vya upinzani vikaanza kuonekana ni wakimbizi ndani ya nchi na vikaanza kusakwa kama...
Je, ni....
1. Ahadi ya Mola
2. Kafara la Kundi
3. Dally Kimoko Virus
4. Kurogana / Kupigana Vipapai
5. Kupenana Sumu kutokana na Umaarufu wa ghafla wa Mtu
Watu Wasiojulikana Wanadaiwa wamemvamia aliyekuwa Katibu wa Chama Cha mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa, Christina Kibiki na kumuua kwa kumpiga risasi.
Taarifa ambayo Matukio Daima Media tumeipata inadai kuwa watu hao Wasiojulikana wamefanya uvamizi huo usiku wa kuamkia leo Novemba...