mahusiano na familia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zee la madawa

    Dada yetu ameolewa na tajiri lakini hataki kumuibia mume wake hela ili atukwamue na sisi

    Mimi ni kijana umri wangu ni miaka 31, nimeoa na nina watoto wawili. Kwetu tumezaliwa watoto saba, Mimi ni watatu kuzaliwa. Dada Iko hivi, Kuna mdogo wetu wa kike kaolewa na jamaa tajiri sana, huyo mume wake ana magari makubwa haya ya mizigo, ana maduka ya vifaa vya magari, Yani Kwa kifupi...
  2. story love

    Kijana anaomba Ushauri kuhusu husiano lake na binti huyu wa Saudia. Mnamshaurije?

    Kulikuwa na kijana mmoja mnyenyekevu mwenye moyo wa upendo na kujali. Alikutana na mwanamke aliyekuwa akifanya kazi Saudia. Kwa maneno, mwanamke huyo alionekana kumpenda kwa dhati. Alimuita majina mazuri, akaweka jina lake kwenye Facebook na kumfanya ajihisi mtu wa thamani sana maishani mwake...
  3. Scott junior

    Nyumbani wamenipa 2 yrs nipeleke babe mama

    Oyaa wakuu Wazee sijui hawanielewi Wamenipa 2 yrs nipeleke babe mama, baada ya kuwa sister kachumbiwa maan tuko wawili tu, nilibaki nachekacheka tu. Hawajui nimeshapigwa na vitu vizito na hawa vipepeo wa dunia, Uchumi bado hauko stable , pesa inanitosha mwenyewe. Ingawa nina vipepeo viwili...
  4. Seran

    Mama wa Watoto 30+ Kutolewa Mahari na Mwanaume Asiye Baba wa wanaye? Heshima au Maisha ya Maonyesho?

    Kuna jambo linanichanganya. Tunashuhudia mama mwenye watoto zaidi ya umri wa miaka 30 anafanyiwa sherehe ya kutolewa mahari, kwa mbwembwe kubwa, akiwa kama binti wa kwanza. Lakini cha kushangaza, anayemposa si baba wa hata mmoja wa hao watoto. Shughuli ni ya moto! watu mtaa mzima wanajua...
  5. MamaSamia2025

    Inahitaji akili mingi sana na ujasiri kuwa na mwanamke aliyekuzidi pesa na elimu

    Wakuu kwa upande wangu naona hili suala ni changamoto kubwa mno. Inahitaji kuwa fit kisaikolojia ili kwenda sawa na mwanamke aliyekuzidi pesa na elimu. Binafsi imetokea mara kadhaa kukutana na wanawake wenye hizi sifa lakini ilikuwa ngumu kudumu kwa sababu yeye kuwa chini yako kwa 100%...
  6. Desierto

    Uliwezaje kukaa kwenye geto mkiwa zaidi ya mmoja. Vipi kuhusu mademu.

    Mimi ninachokumbuka ni mshikaji kuleta demu na demu kulala wote usingizi haukuja huku mm nikiwa bado sijawahi fanya hayo mambo.
  7. M

    Mahusiano hayataki nguvu nyingi ikiwa upendo upo kati, ukiona hivyo hamishia hizo nguvu kwenye biashara

    Nguvu tunazotumia kuwekeza sehemu tusipotakiwa huwa ni kubwa sana kiasi kwamba hizo nguvu zingewekezwa pengine zingeleta matokeo chanya na makubwa. UKIONA UNATUMIA NGUVU NYINGI NI DALILI KUWA UPO UNALAZIMISHA USIPOTAKIWA. Usilazimishe usipotakiwa na usifanye hili kosa tena kwa sababu...
  8. WAPEKEE_

    SoC04 Masingo maza na masingo father, mayatima wapya wanaohitaji kituo cha taifa cha mahusiano na familia

    'MASINGO MAZA NA MASINGO FATHER', MAYATIMA WAPYA WANAOHITAJI KITUO CHA MALEZI CHA TAIFA. Ndugu zangu, Idadi ya MASINGO MAZA, inatishia uhai wa KIZAZI KIJACHO. Hivi sasa tunaanda KIZAZI ambacho hakitatambua nafasi ya BABA kwenye familia. Iko haja kama Taifa kwa miaka 25 ijayo, tuje na tiba ya...
  9. Kwamacho

    Mahusiano ya familia yangu yananiharibu kisaikolojia

    Ndugu zangu, napenda kushiriki hali yangu na ninaomba ushauri wenu. Nimekuwa nikilelewa na bibi yangu tangu nikiwa na umri wa miaka 2 na sasa nina miaka 24 na wazazi wangu wote wapo hai mpaka sasa. Sijawahi kuonana na baba yangu kabisa ingawaje kwa sasa tunawasiliana katika simu, Mama yangu...
Back
Top Bottom