Hii hali nilishakutana nayo miaka ya nyuma, unajikuta unampenda mtu kupitiliza, kuliko yeye anavyokupenda.
Na hii inatokea baada ya kuonja tunda lake, unajikuta muda wote unatamani awe karibu yako, umpigie pigie simu; wakati mwingine yeye asikupe ushirikiano lakini utatumia nguvu ata ya hela...