MAHITAJI YA UMEME YAMEONGEZEKA
Mahitaji ya juu ya umeme katika Gridi ya Taifa nchini yameendelea kuongezeka na kufikia Megawatt (MW) 1,921.44 zilizofikiwa tarehe 09 Aprili, 2025 saa 3:00 usiku ikilinganishwa na MW 1,590.10 zilizofikiwa tarehe 26 Machi, 2024 saa 3:00 usiku sawa na ongezeko la...