mahakama ya tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. funaku

    Je, mahakama ya Tanzania inaweza kuendeshwa kama mechi ya Simba na Yanga?

    Inajulikana ndani ya mahakama kunakuwa na mchuano mkali wa hoja za ,utaratibu na ushahidi bila mihemuko. Je ni sahihi kuwa na mashabiki wa pande mbili kila mmoja akivutia upande wake? Wakati Yesu anahukumiwa pasipo haki pilato alisimama mbele ya wayahudi akawa anahoji baadhi ya maswali muhimu...
  2. Mkalukungone Mwamba

    Mahakama ya Tanzania kuanza kutumia AI kwa ajili ya kurekodi mwenendo wa mashauri na hukumu

    Mahakama ya Tanzania imeanza hatua kubwa ya mageuzi ya kidijitali kwa kuanza kutengeneza mfumo wa kisasa unaotumia Akili Unde (Artificial Intelligence – AI) kwa ajili ya kurekodi mwenendo wa mashauri na hukumu Mahakamani, hatua inayolenga kuongeza ufanisi, usahihi na kasi ya utoaji wa haki...
  3. McLaren

    Baada ya kesi kuwa ngumu, kampuni za Patrice Motsepe zimeanza kuomba "kinga" kutoka Afrika Kusini dhidi ya mahakama za Tanzania

    Bilionea Patrice Motsepe na baadhi ya kampuni zake wanatuhumiwa kujaribu kutumia mahakama za Afrika Kusini kukwepa uamuzi wa kesi unaotarajiwa kutolewa nchini Tanzania kuhusu mgogoro wa uchimbaji madini. Mgogoro huo unahusisha kampuni ya Tanzania ya Pula Graphite. Kampuni ya Pula imedai kuwa...
  4. tonicimmobility

    Taarifa kwa Umma: Mikakati iliyowekwa na mkutano wa mahakama na wadau kuhusu ushirikiano katika utekelezaji wa majukumu ya utoaji haki mahakamani

    Taarifa iliyotolewa kwa umma na mahakama ya Tanzania kuhusu mikakati iliyowekwaa na mkutano wa mahakama na wadau kuhusu ushirikiano na mahusiano katika utekelezaji wa majukuma ya utoaji haki mahakamani uliofanyika makao makuu ya mahakama ya Tanzania - Dodoma tarehe 24 September, 2025 Katika...
Back
Top Bottom