Mahakama ya Rufani nchini Nigeria imetoa ruhusa kwa mgombea wa chama kiloshindwa cha Labour bwana Peter Obi kupinga matokeo ya uchaguzi ambapo ulimpa ushindi mgombea wa chama cha APC bwana Bola Tinubu.
Mapema mwezi huu mwenyekiti wa tume ya uchaguzi nchini Nigeria bwana Mahmood Yakubu...
MAHAKAMA YA RUFANI: CMA HAINA MAMLAKA WAFANYAKAZI WA UMMA
Mahakama ya Rufani ya Tanzania imesema Tume ya Usuluhishi ya wafanyakazi (Commission for Mediation and Arbitration-CMA) haina mamlaka ya kusikiliza na kutolea maamuzi kesi zinazohusu migogoro ya wafanyakazi wa umma.
Kupitia kesi ya...
Mtoto mkubwa wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu nchini, marehemu Reginald Mengi amefungua maombi Mahakama ya Rufani akitaka ipitie upya uamuzi wake wa kutupilia mbali hoja zao za kutaka mahakama hiyo isisikilize shauri lililofunguliwa na mjane wa tajiri huyo, Jacqueline Ntuyabaliwe anayepinga...
Mahakama ya Rufani leo October 13, 2021 imetupilia mbali mapingamizi ya mtoto mkubwa wa Reginald Mengi dhidi ya maombi ya mapitio ya kesi kutoka kwa Jacqueline Ntuyabaliwe.
Awali Abdiel mengi na Benjamin Mengi walimuwekea pingamizi la awali la kisheria Jacqueline wakiiomba mahakama iyatupilie...
Mahakama ya rufani nchini Kenya jana imekataa jaribio la serikali la kufanya mabadiliko makubwa ya katiba katika uamuzi ambao ni pigo kwa rais Uhuru Kenyatta aliyeasisi mchakato huo wenye utata.
Jopo la Majaji saba limeunga mkono uamuzi wa awali uliotolewa na mahakama kuu ya nchi hiyo uliosema...